Magaidi huwa hawana rafiki. Huwa wanaua mpaka Waarabu wenzao.vipi kuhusu ANC pale South Africa nao walikuwa wanatumia silaha na tuliwaita freedom fighter sasa na wao walikuwa magaidi, vipi kuhusu FRELIMO hapo angola?
Guys vita ya mashariki ni ngumu sana ile tuwaachie wenyewe sisi tupiganie mkate wetu, wenzetu wamekufa walikuwa wameenda kutafuta kama watanzania wengine huko nje imetokea basi ni hivyo
lakini pia mm najiuliza mfano wahusika wangekuwa wanajitete kuwa wao ni watanzania na watanzania ni marafiki wa palestine maana kuna balozi huku bado wangeuliwa?
Mossad walichukizwa sana na hiki kitendo, na inasemakana kama hiyo clip waliikamata kwa magaidi wenyewe walikuiwa wanaichukua wakati wakiua, na mossad wanasema hao wote mnaowaona hapo wamekuwa eliminated.
Bado haujakielewa ulichokiandika.Huna Rafiki mwingine zaidi ya Watanzania na ndugu zao waliopoteza vijana wawili Kwa kuuwawa na Magaidi ya Hamas.
Kama hushikamani na Watanzania, nawe ni Gaidi, tutakufikia tu.
Director wa maigizo ni nani?MAIGIZO YANAENDELEA
Wewe umeelewa nilichokiandika ikiwa unadai Mimi sijaelewa nilichoandika?Bado haujakielewa ulichokiandika.
Umekiandika kitu usichokielewa baada ya kusoma na kutoelewa nilichokusudia awali.Ni muda sasa urudie kusoma na kuelewa.Wewe umeelewa nilichokiandika ikiwa unadai Mimi sijaelewa nilichoandika?
Narudia, Waliouwawa ni Watanzania wenzetu,
Na wameuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.
Hamas walaaniwe na kufutwa, maana wanajua yeyote bila kuangalia dini, RANGI au kabila.
Nje ya mada.Huyu Gwajiboy kwanza alitudanganya vijana wa kawe kuhusu connection ya kwenda kujifunza uvuvi mbelezz. SIO WA KUMUAMINI
nimekosa tusi la kumtukana .Alikuwa ameanza vizuri kuwa tujitahidi tofauti zetu juu ya jambo la palestine na israel juu ya mitazamo yetu lisituharibie amani yetu.Salaam, Shalom!
Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.
Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.
Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.
Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.
Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).
Tumepoteza ndugu zetu wawili waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.
Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.
Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.
Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.
ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.
Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.
Amen
Askofu Gwajima hajasema kuwa Hamas ni kikundi Cha kigaidi.Mfano anaamini Na anasema hamas ni kundi la kigaidi je anaamini huo ni msimamo wa watanzania wote au wake na wakristo walokole?
.
Kawe ilimpa ubunge mkuu kwani umelewa ?ok ni msimu wa sherehe.Askofu Gwajima hajasema kuwa Hamas ni kikundi Cha kigaidi.
Pitia Source na isikize alichokisema.
Rabbon ndiye anayeamini Hamas ni kikundi Cha Magaidi.
Na kawe Ishukuru kumpata Gwajima, mbunge wa kitaifa.
Abarikiwe kwakweli.
Mbona unajichanganya,Kawe ilimpa ubunge mkuu kwani umelewa ?ok ni msimu wa sherehe.
Mwaka 2020 hakukua na uchaguzi hata kura za maoni gwajima alilitwa zaidi ya mara mbili na dogo mmoja .ila magu kwa usukuma akarudisha jina la huyu mzinzi .
Kaka ni tunafanya yanayowezekana ni kama dada yako azae bila ndoa utakemea tendo hilo ila itabidi umwite mjomba .urais wa samia mbele yangu na nafsi yako tukishuhudiwa na muumba wako SIO HALALI NI HARAMU.Ila yy hakuhusika ila 2025 tutamjua.Mbona unajichanganya,
Unadai ubunge wa Gwajima ni BATILI ila Urais wa Samia ni halali?
TUMIA Akili zote, Si nusu!!
Fafanua, kivipi hakuhusika, weka pembeni unafiki!!Ila yy hakuhusika ila 2025 tutamjua.
Kutofungamana na upande wowote ni hulka njema.Yaani sisi ni chawa wa kila mmoja , muhimu maslai yetu[emoji848]
SijakataaKutofungamana na upande wowote ni hulka njema.
Maana Si vyema kupangiwa marafiki na maadui.
TANZANIA ni Nchi.
Mjinga huyu. Hivi anajua maana ya siasa za kutofungana na upande wowote? Anajua chanzo chake na zilikuwa na malengo gani? Anadhani zinakuwa applicable kwa migogoro yote ya dunia? Mwambieni huyu mcheza porn asome hapa ajue maana yake ni niniSalaam, Shalom!
Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.
Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.
Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.
Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.
Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).
Mwisho wa kunukuu.
,................................................................
Tumepoteza ndugu zetu wawili , Joshua na Clemence waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.
Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha na kutumia Raia kama Kinga Yao kibita.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.
Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.
Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.
ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.
Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.
Amen
Sera ninayoikubali ni ya marekani , hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslai ya kudumu.Kutofungamana na upande wowote ni hulka njema.
Maana Si vyema kupangiwa marafiki na maadui.
TANZANIA ni Nchi huru.