Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

All in all,

Msimamo wa Askofu Gwajima uko kitaifa na kizalendo zaidi kuliko msimamo wa Tundu Lissu.
 
Katika hili, Lissu hakuonyesha Uzalendo Kwa Ndugu zetu waliouwawa Watanzania wenzetu.
Nyie mambumbumbu wala hamjui maana ya siasa za kutofungana na upande wowote. Nyerere alikuwa anawa-support wapalestina wakati nchi yetu ilikuwa kwenye non-aligned movement.
 
All in all,

Msimamo wa Askofu Gwajima uko kitaifa na kizalendo zaidi kuliko msimamo wa Tundu Lissu.
Hujui kitu wewe. Msimamo wa Lissu ndiyo msimamo wa nchi yetu tangu enzi za Nyerere. Nyie mliosomea shule za kata haya mambo hamuwezi kuyajua.
 
Sera ninayoikubali ni ya marekani , hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslai ya kudumu.
Sera za Upepari haziangalii UTU, ndomana wanatengeza magonjwa na kuyaeneza duniani Kisha watakuja mlango ungine kutukopesha chanjo na madawa!!

Tanzania tupo katika msimamo mzuri nionavyo.
 
Nyie mambumbumbu wala hamjui maana ya siasa za kutofungana na upande wowote. Nyerere alikuwa anawa-support wapalestina wakati nchi yetu ilikuwa kwenye non-aligned movement.
Wapalestina Si Hamas!!

Hamas ni magaidi.

Bado msimamo wa Gwajima ni mzuri kuliko wa Lissu kutambua Hamas kama freedom fighters ilhali ni kikundi Cha ugaidi.
 
Sera za Upepari hauangalii UTU, ndomana wanatengeza magonjwa na kuyaeneza duniani Kisha watakuja mlango ungine kutukopesha chanjo na madawa!!

Tanzania tupo katika msimamo mzuri nionavyo.
Hauwezi kuwa taifa lenye nguvu bila sera za kipepari hii ipo ata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kufanikiwa lazima uwe bepari haswa.
 
Hauwezi kuwa taifa lenye nguvu bila sera za kipepari hii ipo ata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kufanikiwa lazima uwe bepari haswa.
Mungu hapendi hayo.

Upendo ni muhimu.
 
Fafanua, kivipi hakuhusika, weka pembeni unafiki!!
Nimependa umesema tuweke pembeni unafiki.ccm cheo cha umakamu huwa ni takataka tu.hawakuwah jua rais atafariki ccm haijawahi muwazs mama samia kuwa rais haikujiandaa.na hata kukaa pale walijitahidi sana kuzuia hope unajua jeshi liliingilia.kwenye duru za siasa za cc mama samia hajawahi kuwa na nguvu ni kwamba alikota dodo chini ya mnazi.
 
Hata yale majini aliyokuwa akikemea (sii kwa sasa hivi) mbona nayo mungu hajayanyima pumzi?
Hapaswi kuchukua upande na ndivyo ilivyo kwa coward wote hawanaga upande.
Ila watu integrity wana upande na siku zote husimama upande wa haki bila kupepesa au kumungunya maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upi msimamo Bora kati ya:

1. Kutaka mazungumzo ya kuhakikisha inapatikana Amani Mashariki ya kati.kwa kuzileta mezani pande zote wakati Nchi yetu ikiwa Haina upande-Gwajima.

2. Kuwatambua Hamas kama Freedom fighters - Lissu
 
Lissu hata hajui history, anadai Israel imejulikana 1948,

Akumbushwe kuwa, CHADEMA hawajawahi KURUDIA mgombea Urais, usisahau Hilo.
Lissu anachojua ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote ile hata mfe wote. Lissu hana uzalendo wowote, ni mchumia tumbo, yuko tayari kuona nchi inaangamia kwa maslahi yake. Cha kushangaza kuna mazuzu yanamsapoti. Sishangai km mwanamke anaweza kujiita mfalme(Zumaridi) na akapata wafuasi?
 
Upi msimamo Bora kati ya:

1. Kutaka mazungumzo ya kuhakikisha inapatikana Amani Mashariki ya kati.kwa kuzileta mezani pande zote wakati Nchi yetu ikiwa Haina upande-Gwajima.

2. Kuwatambua Hamas kama Freedom fighters - Lissu
Kutambua hamas ni freedom fighters na israel ni wavamizi ardhi.ila haipo namna lazima waishi pamoja .hivo tuende tukiwatakia wakae wayamalize ila ni ushoga kutosema israel ni wabaya
 
Lissu kudai Hamas ni Freedom fighters, napingana naye hadharani.

Msimamo wa Askofu Gwajima katika hili, umekaankitaifa zaidi.

Pia naamini huo ni Msimamo binafsi wa Lisu, Si wa CHADEMA!!
 
Kutambua hamas ni freedom fighters na israel ni wavamizi ardhi.ila haipo namna lazima waishi pamoja .hivo tuende tukiwatakia wakae wayamalize ila ni ushoga kutosema israel ni wabaya
Katika hili, Lissu ameyumba!!
 
ANC walikua wanaua watanzania au walifokas na makaburu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…