Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

Unajua hamas iliundwaje ?unajua mandela nyerere pia kama leo bbc ilikuwa inawaita magaidi
Harakati za kudai Uhuru za Nyerere ,Mandela, usifananishe na Ugaidi wa kikundi Cha Hamas.

Usichanganye mambo, Palestine wenyewe hawaipendi Hamas ,ni vile tu hawawezi kuwafuta.

Hamas wakomeshwe, wasiwepo tena.
 
Wapalestina Si Hamas!!

Hamas ni magaidi.

Bado msimamo wa Gwajima ni mzuri kuliko wa Lissu kutambua Hamas kama freedom fighters ilhali ni kikundi Cha ugaidi.
Hujui historia ya wapalestina ndiyo maana unasema hivyo. Lissu yuko sawa kabisa. Hivi unamjua Yasser Arafat ni nani? Hivi unajua waisarael walikuwa wanasema Arafat ni nani?
 
Lissu Huwa ni wakukurupuka pale CHADEMA mtu makini amebakia Mnyika tu, naona nayeye kashawachoka
 
Hujui historia ya wapalestina ndiyo maana unasema hivyo. Lissu yuko sawa kabisa. Hivi unamjua Yasser Arafat ni nani? Hivi unajua waisarael walikuwa wanasema Arafat ni nani?
Harakati za Palestina Si harakati za Hamas.

Hamas ni magaidi, hivyo Lisu amepuyanga kusema Hamas ni Freedom fighters ilhali wanaua Hadi Wapalestina wenzao.
 
Lissu Huwa ni wakukurupuka pale CHADEMA mtu makini amebakia Mnyika tu, naona nayeye kashawachoka
Mwanasiasa ni muhimu kuwa na break.

Yaani Lissu ni WA kutwambia kabla ya 1948 hapakuwa na Israel?
 
Mwanasiasa ni muhimu kuwa na break.

Yaani Lissu ni WA kutwambia kabla ya 1948 hapakuwa na Israel?
Wewe umepofushwa na chuki zako kwa Lissu hivyo ni vigumu kuona mambo pande zote. Ukiondoa hizo chuki utakuwa na maoni tofauti. Kama Hamas ni magaidi na hao waisrael walioua watu zaidi ya 20,000 ni nani?
 
Lissu ni Mwanasheria, anajua kumuua aliyekuvamia nyumbani kwako ni kujilinda.

Lissu ni mzalendo kwenye mengi, namuunga mkono.

Lakini katika hili, nampa Big NO!!
 
Lissu ni Mwanasheria, anajua kumuua aliyekuvamia nyumbani kwako ni kujilinda.

Lissu ni mzalendo kwenye mengi, namuunga mkono.

Lakini katika hili, nampa Big NO!!
Ndiyo maana nakuambia wewe umepofushwa na chuki. Unaua aliyevamia nyumbani kwako kwa kwenda kwake na kuua karibu ukoo wake wote, wakiwamo watoto? Hivi kama mtaani kwenu wakitokea majambazi na kwenda kuvamia kituo cha polisi, polisi wana haki ya kuja mtaani kwenu na kuua kila wanayekutana naye wakiwepo watoto?
 
Ikiwa adui anaambiwa atoke kwenda uwanja wa mapambano hataki, anajificha nyuma ya watoto,

Utafanya nini?

Utambembeleza na unajua ana silaha?

Vita Ina macho?

Hamas ni kikundi Cha ugaidi, kifutwe
 
Yale maroketi wanayorusha kwenda Israel, Huwa yanabagua raia na asiye raia?
 
Ikiwa adui anaambiwa atoke kwenda uwanja wa mapambano hataki, anajificha nyuma ya watoto,

Utafanya nini?

Utambembeleza na unajua ana silaha?

Vita Ina macho?

Hamas ni kikundi Cha ugaidi, kifutwe
Nimeelewa busara zako sasa. Ndiyo maana hatutaelewana. Watu kama wewe mpaka mfikwe na jambo ndiyo mnaelewa madhara yake. This is animal type of learning....
 
Dawa ni kuacha kupora ardhi ya watu
 
Nimeelewa busara zako sasa. Ndiyo maana hatutaelewana. Watu kama wewe mpaka mfikwe na jambo ndiyo mnaelewa madhara yake. This is animal type of learning....
Idd Amin alipotuvamia,

Wanajeshi walipoipiga Uganda, hapakuwa na watoto waliokufa?

Anyway elewa utakavyoelewa.

Hamas ni magaidi.
 
Idd Amin alipotuvamia,

Wanajeshi walipoipiga Uganda, hapakuwa na watoto waliokufa?

Anyway elewa utakavyoelewa.

Hamas ni magaidi.
Haya unayofananisha ni mambo mawili tofauti. Na pengine kutojua kwako kusoma kiingereza kunakufanya ubaki kutegemea sources za local media kupata habari jambo ambalo linakufanya uwe shallow kwenye knowledge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…