Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Hivi kwanini mnakaririshwa vibaya hivi unafikiri Gwajima ni iliterate kama wanaokutuma jaribuni kuchukua mawazo yanayojenga sio Gwajima amemshinda Mdee ndo imekuwa nongwaPoint ni njema ila kwa vile mama hatokei kanda fulani haruhusiwa kuasisi yale anayoyaona yanafaa katika uongozi wake,tuliwaambia mkatuona sisi yo wazalendo,mnaona sasa!
Tangu Baba wa Taifa atatungazie kuwa kilimo ndiyo uti wa mgongo wa Taifa letu. Hakutaka kabisa kugusa madini. Kama kilimo kingewekewa mikakati ya kueleweka na kwa ardhi tuliyonayo tungekuwa tunalisha Afrika nzima kwa mazao mbalimbali.Mimi huwa simkubali huyu jamaa lakini katika hili kaongea ukweli kabisa na hilo ndio tatizo letu. Tuchukulie mfano Dubai wao waliweka malengo wanataka kuwa number one kwa kila kitu hawataki number 2 kwa kila wanalofanya, kama ndege, airport, utalii na sijui bandari na mengi tu lakini sio kwamba ndio wamekuwa number one kwa kila kitu lakini hayo ndio malengo yao na kila mtu apiganie hayo. Sasa sisi kama Tanzania ni lazima tujiwekee vision je lipi tutakaloweza kututoa hapa na kutupeleka pale. Kama tunataka tuwe number one kwa kilimo Africa, tunataka tuwe nchi yenye elimu bora, afya bora na hii mifano tu basi iwe ni ilani ya kila chama iwe sharti mengine ya nyongeza kuboresha sawa tu lakini washindane sera za kutufikisha katika vision yetu. Naunga mkono hoja
Unaweza kuwa Literate kama Professor Lipumba,Palamagamba Kabudi,Gwajima na Ally Bashir wengineo lakini ujinga wa mawazo na upumbavu ukawa navyo kichwaniHivi kwanini mnakaririshwa vibaya hivi unafikiri Gwajima ni iliterate kama wanaokutuma jaribuni kuchukua mawazo yanayojenga sio Gwajima amemshinda Mdee ndo imekuwa nongwa
Well said my friend!!!Nimesikiliza , jamaa kaongea point kubwa tangu Bunge lianze, kila Raisi anakuja na mishe zake , anaharibu mfumo uliopo anaanza upya , mfano jiwe kaja kafumua fumua kila kitu , mfumo wa Elimu kafumua , mfumo wa biashara kaufmua ,mfumo wa utumishi kaharibu haribu huko na kabla hata hajaseti mambo akafa ....yaan mnarudi nyuma maili buku
Gwajima anashindwa kutambua kwamba vision namba moja ya taifa ni katiba halafu hayo mengine yanafuata.Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'
Pia ameeleza kuwa Tanzania inashindwa kuendelea mbele kwa kasi kwasababu hakuna muendelezo wa Regime moja kwenda nyingine ambapo kila Rais anaingia madarakani na mipango yake hivyo huathiri maendeleo ya ukuaji wa mipango iliyoanzishwa.
Gwajima amtolea mfano Nyerere alietawala miaka 20 na kuacha viwanda 411, alipokuja Mwinyi aliboresha baadhi ya mambo lakini hakuendelea na wazo la viwanda na alipoingia Mkapa akauza vyote kwa kuvibinafsisha hivyo kukosa muunganiko kati ya 'regime' ya kwanza na regime ya tatu.
Gwajima amesema watakesha kama hamna huo muunganiko kwani hata Rais wa awamu ya nne hakushughulika na viwanda, bali mambo mengine lakini awamu ya tano akaamua kushughulika na viwanda, vilevile ambavyo awamu ya tatu ilivibinafsisha na kuviuza.
Gwajima amesema ni hatari kwasababu katiba inampa nafasi kila Rais anayeingia madarakani kwa namna yake, hekima yake na kwa namna anavyotafasiri yeye maendeleo.
Amesema siku moja atakapopatikana Rais ambaye hayuko sawasawa watu wataishia kulia na kutoa ombi la kuwa na vision ya kuwa na miaka 50 ya Taifa na anapoingia Rais lazima ilani ya chama chake izungumze mambo ambayo Taifa imejiwekea kama maono.
Gwajima amehoji endapo akatokea Rais ambae anafanya mambo yake yasiyo kwenye ilani kama kuna mtu wa kumuuliza mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na Amiri Jeshi mkuu!
Kweli kabisa mkuu, tuna shida kubwa sana ya kushindwa kuchukua mawazo ya mtu kwasababu aliyetoa mawazo tunamchukia.Ushabiki wa kijinga ndio shimo la maendeleo yetu
Tufanye Gwajima hatumpendi, Ila tuchukue alichokisema tukifanyie kazi haraka Sana
Kilichosemwa na Askofu Gwajima, ndilo haswaa hitaji la lazima la nchi yetu, haiwezekani mtu anakuja na dhima ya viwanda mwingine akija aseme, hivi viwanda ni vizuri Kwa kufugia kuku wa mayai tutapata faida Sana, huku ni kuzunguka mlima msijue kama mpo kwenye safari
Naunga mkono hotuba ya Askofu
Kweli mtu wa Mungu watu wabaya husahau kusimamia sheria mama(katiba ya nchi) Gwajima alitafakari hilo.Gwajima anashindwa kutambua kwamba vision namba moja ya taifa ni katiba halafu hayo mengine yanafuata.
Gwajima anashindwa kutambua tatizo mama la nchi hii ni ccm na viongozi wengi wanafiki kama yeye utaendelea vipi kama taifa wakati viongozi hawapatikani kwa kura za wananchi bali kwa masanduku ya kura zakutengeneza stationary ?
Gwajima anashindwa kutambua kuwa awamu ya tano ndiyo awamu pekee iliyoharibu nchi kiasi cha kuondoa hata ustaarabu wa kawaida wa nchi na nchi kutawaliwa kishetani.
Pengine jibu pekee tunaloweza kupata kutoka kwenye hoja ya Gwajima ni kwamba na yeye amepata AQCQUIRED STUPIDITY
Imeandikwa wapi vilee! Labda kweli lkn pia huwezi kuwatumikia mabwana 2. Nikifikisha miaka 50 nafungua huduma yangu ya soda ya upakoMbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'
Pia ameeleza kuwa Tanzania inashindwa kuendelea mbele kwa kasi kwasababu hakuna muendelezo wa Regime moja kwenda nyingine ambapo kila Rais anaingia madarakani na mipango yake hivyo huathiri maendeleo ya ukuaji wa mipango iliyoanzishwa.
Gwajima amtolea mfano Nyerere alietawala miaka 20 na kuacha viwanda 411, alipokuja Mwinyi aliboresha baadhi ya mambo lakini hakuendelea na wazo la viwanda na alipoingia Mkapa akauza vyote kwa kuvibinafsisha hivyo kukosa muunganiko kati ya 'regime' ya kwanza na regime ya tatu.
Gwajima amesema watakesha kama hamna huo muunganiko kwani hata Rais wa awamu ya nne hakushughulika na viwanda, bali mambo mengine lakini awamu ya tano akaamua kushughulika na viwanda, vilevile ambavyo awamu ya tatu ilivibinafsisha na kuviuza.
Gwajima amesema ni hatari kwasababu katiba inampa nafasi kila Rais anayeingia madarakani kwa namna yake, hekima yake na kwa namna anavyotafasiri yeye maendeleo.
Amesema siku moja atakapopatikana Rais ambaye hayuko sawasawa watu wataishia kulia na kutoa ombi la kuwa na vision ya kuwa na miaka 50 ya Taifa na anapoingia Rais lazima ilani ya chama chake izungumze mambo ambayo Taifa imejiwekea kama maono.
Gwajima amehoji endapo akatokea Rais ambae anafanya mambo yake yasiyo kwenye ilani kama kuna mtu wa kumuuliza mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na Amiri Jeshi mkuu!
Askofu Rashid ana point kidogo ... hasa kwa Tanzania ambayo imeongozwa na Chama Kimoja miaka yote. Kama kweli wanatekeleza Ilani ya CCM inakuwaje kunakuwa na tofauti za kimtazamo kati ya awamu na awamu?Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'
Pia ameeleza kuwa Tanzania inashindwa kuendelea mbele kwa kasi kwasababu hakuna muendelezo wa Regime moja kwenda nyingine ambapo kila Rais anaingia madarakani na mipango yake hivyo huathiri maendeleo ya ukuaji wa mipango iliyoanzishwa.
Gwajima amtolea mfano Nyerere alietawala miaka 20 na kuacha viwanda 411, alipokuja Mwinyi aliboresha baadhi ya mambo lakini hakuendelea na wazo la viwanda na alipoingia Mkapa akauza vyote kwa kuvibinafsisha hivyo kukosa muunganiko kati ya 'regime' ya kwanza na regime ya tatu.
Gwajima amesema watakesha kama hamna huo muunganiko kwani hata Rais wa awamu ya nne hakushughulika na viwanda, bali mambo mengine lakini awamu ya tano akaamua kushughulika na viwanda, vilevile ambavyo awamu ya tatu ilivibinafsisha na kuviuza.
Gwajima amesema ni hatari kwasababu katiba inampa nafasi kila Rais anayeingia madarakani kwa namna yake, hekima yake na kwa namna anavyotafasiri yeye maendeleo.
Amesema siku moja atakapopatikana Rais ambaye hayuko sawasawa watu wataishia kulia na kutoa ombi la kuwa na vision ya kuwa na miaka 50 ya Taifa na anapoingia Rais lazima ilani ya chama chake izungumze mambo ambayo Taifa imejiwekea kama maono.
Gwajima amehoji endapo akatokea Rais ambae anafanya mambo yake yasiyo kwenye ilani kama kuna mtu wa kumuuliza mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na Amiri Jeshi mkuu!
Haya mambo angetakiwa aongee wakati JPM yupo kwenye powerMbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'
Pia ameeleza kuwa Tanzania inashindwa kuendelea mbele kwa kasi kwasababu hakuna muendelezo wa Regime moja kwenda nyingine ambapo kila Rais anaingia madarakani na mipango yake hivyo huathiri maendeleo ya ukuaji wa mipango iliyoanzishwa.
Gwajima amtolea mfano Nyerere alietawala miaka 20 na kuacha viwanda 411, alipokuja Mwinyi aliboresha baadhi ya mambo lakini hakuendelea na wazo la viwanda na alipoingia Mkapa akauza vyote kwa kuvibinafsisha hivyo kukosa muunganiko kati ya 'regime' ya kwanza na regime ya tatu.
Gwajima amesema watakesha kama hamna huo muunganiko kwani hata Rais wa awamu ya nne hakushughulika na viwanda, bali mambo mengine lakini awamu ya tano akaamua kushughulika na viwanda, vilevile ambavyo awamu ya tatu ilivibinafsisha na kuviuza.
Gwajima amesema ni hatari kwasababu katiba inampa nafasi kila Rais anayeingia madarakani kwa namna yake, hekima yake na kwa namna anavyotafasiri yeye maendeleo.
Amesema siku moja atakapopatikana Rais ambaye hayuko sawasawa watu wataishia kulia na kutoa ombi la kuwa na vision ya kuwa na miaka 50 ya Taifa na anapoingia Rais lazima ilani ya chama chake izungumze mambo ambayo Taifa imejiwekea kama maono.
Gwajima amehoji endapo akatokea Rais ambae anafanya mambo yake yasiyo kwenye ilani kama kuna mtu wa kumuuliza mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na Amiri Jeshi mkuu!
Tatizo ni bunge... Mpango wa taifa na Dira ya taifa ndio vipo haijalishi Rais gani kaingia.Ushabiki wa kijinga ndio shimo la maendeleo yetu