Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Aache undezi,Asene mzungu ni nani?akimtaja tutaamini
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Muulize mwenzako kama Bado Kuna malaria ??
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
nikiitaka nitaipata wapi hii?Nakumbuka kuhusu DDT sijui wenye viwanda vya madawa ya Malaria wamelobi serikali ya CCM?.
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Usitafute umaarufu kupitia mimi
Labda online.nikiitaka nitaipata wapi hii?