Askofu Gwajima: Tuna kiwanda cha kuua mbu nchi nzima, ila serikali imedhibitiwa na Mzungu

Askofu Gwajima: Tuna kiwanda cha kuua mbu nchi nzima, ila serikali imedhibitiwa na Mzungu

Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima.

Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.

Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria

Huyu jamaa amekaa kimya miaka yote, anaona uchaguzi unakaribia, sasa anataka kurudi achaguliwe tena. Amesema nini bungeni kuhusu haya yote? Kwanini haongei bungeni kwenye jukwaa maalumu aje kuongea kanisani ambako anajua ni porojo tu.
Huu ni uhuni tu.
 
Hii dawa imemaliza Mbu USA na Nchi kadhaa sema huku Afrika ni soko na dampo la majaribio ya madawa yakiwemo ya Malaria.

Kwahiyo tusibiri Chanjo ya Malaria ambayo ni rahisi kuwa tampered na mambo ya population control haswa kwetu weusi.
Sawa Mr. Pharmacologist...
 
Back
Top Bottom