Tuangalie kama hoja yenyewe ina mantiki, na siyo imetolewa mahali gani.Amesema chochote kuhusu hili huko bungeni?
Wabunge wenyewe ndio wale wale
Umasikini wa fikra kwa jamii na taifa hauchagui au kuliepuka bunge.
Kufanya jambo siyo rahisi kama kuzungumza ila inawezekana.
Kuhusu serikali kudhibitiwa na mzungu siyo moja kwa moja bali kwa namna fulani mataifa, makampuni na hata watu matajiri wana ushawishi mkubwa kwenye maamuzi ya serikali za nchi hasa masikini.
Ukoloni mamboleo hasa kwenye uchumi upo.