Tuangalie kama hoja yenyewe ina mantiki, na siyo imetolewa mahali gani.Amesema chochote kuhusu hili huko bungeni?
Wabunge wenyewe ndio wale wale
Hapo sisi tumsaidieje? Ndiyo kiwanda kikifanya kazi hao 'Wazungu' watafanya nini ambacho yeye na mazuzu wenzake wanakiogopa.
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Mbona maelezo yako wazi kabisa?!Aache undezi,Asene mzungu ni nani?akimtaja tutaamini
Viwanda kinahujumiwa sana Kipo Kibaha
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Zile meli za uvuvi za Japan walizotuahidi alizotuambia bado hazijafika. Na ule mji wa kuwapeleka wana Kawe kule Uingereza vipi ?
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Mkuu, angesema tu wazungu ni kina nani,Maana haieleweki,kutowataja ni kujificha kwenye kichaka na kutafuta cheap popularity tu.kwani Mkuu sisi baadhi ya dawa hatununui Kenya au india?je hao ni wazungu?mbona tukishindwa kujisimamia mambo yetu huupenda kusingizia wazungu tu?Mbona maelezo yako wazi kabisa?!
Imesemwa "wazungu" ni wenye wanauza dawa za malaria wanaogopa kukosa soko, wewe unataka atajwe nani? Hivi watu huwa mnaacha wapi uwezo wenu wa kuelewa mambo?
Ni kweli,kipo kibaha,kilijengwa wakati wa jakaya,wazungu wamehujumu,tusitumieHuyu Huwa anaona Watanzania ni sawa na waamini wake aliowaahika akili zao
Pumba hizi mzungu anahusikaje hapo? Dawa za kuua mbu asilimia kubwa zinatoka China ,Tanzania. Na hata Dawa za Malaria ni kutoka Tz na India. Hapo mzungu anafaidika na nini? Kuna mambo mangapi mzungu alikataza tumefanya?mfano bwawa la Nyerere. Mwishowe wazungu watatudharau.
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
How? Nyie basi ni wapumbavu.Ni kweli,kipo kibaha,kilijengwa wakati wa jakaya,wazungu wamehujumu,tusitumie
Watakuwa wazungu wamemhujumu.Vipi ile treni yake imefikia wapi?
Duh!...hii kali..
View: https://youtu.be/dfrlhw0UrEk?si=BBk_41vGCKxyQUJN
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi.
Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria.
Hii dawa walisema ina madhara kwa binadamu.Nakumbuka kuhusu DDT sijui wenye viwanda vya madawa ya Malaria wamelobi serikali ya CCM?.
Wazungu Wana nguvu ndugu yangu,hasa ukizingatia bajeti ni tegemezi, yaani tuliamini malaria tunayapiga baoHow? Nyie basi ni wapumbavu.
Yeah Ni Kweli DDT ina madhara Na ndo maana Nchi nyingi Zilizuia Matumizi yake na Kiukweli Haifai
Wamezuia nini? Ninyi mmekuwa kama wanawakeWazungu Wana nguvu ndugu yangu,hasa ukizingatia bajeti ni tegemezi, yaani tuliamini malaria tunayapiga bao
Hii dawa imemaliza Mbu USA na Nchi kadhaa sema huku Afrika ni soko na dampo la majaribio ya madawa yakiwemo ya Malaria.