Anataka kumpasua waziri vipandevipande anaomba ushauri kwa baba. Baba anatoa ruksa. Nikarejea andiko "' ...asulubiwe.." hii si sawa. Lakini kondoo zake wanashangilia. Hakika tz kuna vituko!
Ana haki ya kutoa yake ya moyoni ila mimi nampinga kitu kimoja tu.Amejaliwa kujieleza kama ilivyo kawaida ya wahubiri wa maandiko ila mungu amemnyima kitu kimoja tu WISDOM