Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana haki ya kutoa yake ya moyoni ila mimi nampinga kitu kimoja tu.Amejaliwa kujieleza kama ilivyo kawaida ya wahubiri wa maandiko ila mungu amemnyima kitu kimoja tu WISDOMAnataka kumpasua waziri vipandevipande anaomba ushauri kwa baba. Baba anatoa ruksa. Nikarejea andiko "' ...asulubiwe.." hii si sawa. Lakini kondoo zake wanashangilia. Hakika tz kuna vituko!