Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa lake kwa sasa ni kushawishi wananchi wasichange huku hakuna mbadala . Pili ni personal attacks kwa waziri (shemeji) ." Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Tunajua Chadema mna hasira na askofu kwa sababu aliwashughulikia sana toka muonyeshe msimamo wenu wa corona. Mnataka tu akomolewe kwa hoja za kuuunga unga.Kosa lake kwa sasa ni kushawishi wananchi wasichange huku hakuna mbadala . Pili ni personal attacks kwa waziri (shemeji) .
Ni kweli kuwa ndani ya muda mfupi serikali imekuwa na kauli zinazokinzana. Mwanzo wakiikataa Corona na chanjo zake. Lakini pili wakiikubali na chanjo zake. Hii imewachanganya wananchi . Na ndiyo maana wameifanya kuwa hiyari. Sasa Gwajima anatumia jukwaa lake la kanisa kuwarubuni wananchi si sawa. Lucas philipo
Askofu yuko sahihi na hata ukimsikiliza hoja zake kwa kina hajakataa chanjo ila anataka clarification ya kila anachoona hakiko sawa ukizingatia kipindi kifupi nyuma tuliambiwa corona hakuna tukashauriwa tule kachumbali za tangawizi na kupiga nyungu." Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Cdm imetoka wapi katika hoja hii ?!. Kwa kweli elimu yetu ni mbovu. Hapo kama ni mtihani si umepata zero !!.Tunajua Chadema mna hasira na askofu kwa sababu aliwashughulikia sana toka muonyeshe msimamo wenu wa corona. Mnataka tu akomolewe kwa hoja za kuuunga unga.
Anayejiita Askofu Gwajima anakosea sana kugeuza nyumba ya ibada kuwa ukumbi wa mipasho. Huyu ajikite tu kwenye biashara ya kutengeneza zile video pendwa.Amekosa sifa za kuitwa Askofu.
Asome. 1 Timotheo 3:2 na Tito 1.7
Askofu anatakiwa awe mume wa mke mmoja, asisemwe kwa mambo mabaya, asiwe mtu wa hasira, asipende ugomvi, awe mwenye busara na kiasi.
Ni muasisi na mfadhili wa Sukuma GangKwanza anaonekana ni mkabila sana.
Hawawezi kumjibu" Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Sasa ndiyo ujue katiba ya Tanzania ni mbaya. Inamuumba mungumutu (Rais) . Ambaye kila mtu anataka ajipendekeze kwake.Askofu yuko sahihi na hata ukimsikiliza hoja zake kwa kina hajakataa chanjo ila anataka clarification ya kila anachoona hakiko sawa ukizingatia kipindi kifupi nyuma tuliambiwa corona hakuna tukashauriwa tule kachumbali za tangawizi na kupiga nyungu.
Mi nadhani suala la Askofu Ngwajima ni wake up call kwa viongozi na wataalamu wetu waache unafiki na kujipendekeza inapokuja masuala yenye maslahi mapana ya nchi bila kujali utaonekanaje mbele ya kiongozi mkubwa. Tukirudi nyuma wakati wa mwendazake Hawa viongozi na wataalamu hakuna aliyesimama akamwambia ukweli mwendazake wao wakawa wanasifu na kuabudu Sasa hivi ndio haohao wamegeuka Sasa wanapata wapi moral authority ya kutueleza tutumie njia za kitaalamu
Kakumwagia cha nguruwe eh!Kawaida ya askofu anapiga kimoja jumapili ila watu watahangaika wiki nzima kuchomoa ila hawawezi, jpili tena anapiga kingine! Hamumuwezi kabisa. Huu ni wakati wake.
Una maana Dorothy Gwajima na Job Ndungai ni wana Chadema?Tunajua Chadema mna hasira na askofu kwa sababu aliwashughulikia sana toka muonyeshe msimamo wenu wa corona. Mnataka tu akomolewe kwa hoja za kuuunga unga.
Chadema wanawapump au wanakoleza tu moto ili wananzengo wagombane na wasambaratike. Yaani adui wa adui yako ni rafiki yakoUna maana Dorothy Gwajima na Job Ndungai ni wana Chadema?
Ndio tatizo hapo haijengi taasisi bora na imara zinazotoa majibu ya changamoto na hoja kuelekea maendeleo endelevu nakumbuka kuna dada daktari alitumbuliwa kwa kuonyesha msimamo wake wa kitaalamu watu walishangilia Sana kumbe yeye ndio alikua sahihi kuliko mwendazake. Katiba mpya ni muhimu katika kujenga taasisi imara, bora na zinazojitegemea bila kuadhiriwa na mawazo na mitazamo binafsi isiyo ya kitaalamuSasa ndiyo ujue katiba ya Tanzania ni mbaya. Inamuumba mungumutu (Rais) . Ambaye kila mtu anataka ajipendekeze kwake.
Walijipendekeza kwa Jiwe huo na sasa wanajipendekeza kwa Mama
Askofu uchwara huyu...anapiga miti wake za watu ( Flora Mbasha), anatapeli ( aliwahi mrubuni mama mmoja akampa kiwanja kinondoni, mume wake akampeleka mahakamani), anapiga miti waumini na warembo, anadanganya watu kuwa anafufua watu ( Amina Chifupa)..Ni mwingi.. alidanganyaga kuwa ameishaagiza treni..Tapeli mkubwa!Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno la Mungu na kumdharau mke wako na familia yako? Huo si ubabe bali ni ujinga uliokomaa kupita kiasi. Kwa hiyo mafundisho yako ya dini yana-based wapi? Kwa watu kusaliti ndoa zao? Sasa una tofauti gani na asie na dini huku ukijidai wewe ni askofu? Kama kweli wewe ni kiongozi wa dini, unapaswa uwe na ile moral behavior na ujali pia ethics za kazi zako. Unachokifanya kinaendelea kukushushia heshima kiasi kwamba huna tofauti na wengine wenye tabia za kishenzi na kipuuzi. Hufai kwa lolote wewe mchungaji au askofu Gwajima, huna adabu, wala hekima na pia hujitambui. Sitaki kuongelea mengi kukuhusu ila bottom line ni kuwa hufai.
Hiyo siyo solution..Gwajima mwenyewe ana PhDumeona eeh, kuna haja na sisi tuwaige Ruanda, kufungua kanisa lazima uwe na PHD
" Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.