Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hakika wanazunguka Mbuyu huyu Gwajima mjinga Sana tangu alipojiingiza katika siasa za sisiemu nilimuona ni mchumia tumbo tu.Kumekuchwa!
Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.
Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.
Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.
Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.
Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.
Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu.
Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.
Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.
Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.
Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.
Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?
Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!
Jioni njema
Hakika wanazunguka Mbuyu huyu Gwajima mjinga Sana tangu alipojiingiza katika siasa za sisiemu nilimuona ni mchumia tumbo tu.
Sahihi kabisaGwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!
At least ameongeaHakika wanazunguka Mbuyu huyu Gwajima mjinga Sana tangu alipojiingiza katika siasa za sisiemu nilimuona ni mchumia tumbo tu.
Hakika hata Gwaji Boy ukimsikiliza between the line unagundua anaogopa kumtaja Rais Ila anazunguka zunguka yaani ni Kama vile hajui anaongea nn.Tatizo la nchi hii Lina nguzo zake.
Nguzo mojawapo ni Sheria.
Sahihi kabisa
Kabisa mkuu...Kweli!
Unafikiri Katiba ingekuwa haijatugawa kungekuwa na mambo kama haya
Hiyo aigipi amewekewa 1b kwenye account yake ili kumnyamazishaKumekuchwa!
Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.
Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.
Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.
Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.
Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.
Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.
Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.
Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.
Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.
Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?
Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!
Jioni njema
Niliwahi kusema siku za nyuma, iwapo kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais hakitakuwepo, basi mifumo yote itakuwa dhaifu, maana sheria zote zitatekelezwa kwa amri toka juu. Kwa sasa hapa nchini amri toka juu ina nguvu kuliko katiba na sheria.Kumekuchwa!
Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.
Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.
Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.
Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.
Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.
Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.
Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.
Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.
Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.
Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?
Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!
Jioni njema
Kabisa, na hapo nchi yetu itaanza kufuata sheria na katiba na sio amri toka juu.Kama Kongo DRC - Joswoh Kabila kaondelewa kinga na senate jana, hata hapa Bongo itaondolewa tu- wakae mguu pande , mguu sawa, kinga itaondolewa tu siku moja
Unapomchinja kobe inabidi kumlia timing,hakawii kuficha kichwaHakika hata Gwaji Boy ukimsikiliza between the line unagundua anaogopa kumtaja Rais Ila anazunguka zunguka yaani ni Kama vile hajui anaongea nn.
Alibidi anyooshe maelezo Kama rula