Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Niliwahi kusema siku za nyuma, iwapo kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais hakitakuwepo, basi mifumo yote itakuwa dhaifu, maana sheria zote zitatekelezwa kwa amri toka juu. Kwa sasa hapa nchini amri toka juu ina nguvu kuliko katiba na sheria.
Kwani vyombo vyenyewe vikiwa na interest za siasa unadhani halo itakuaje?Kumekuchwa!
Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.
Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.
Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.
Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.
Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.
Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.
Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.
Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.
Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.
Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?
Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!
Jioni njema
Huu upuuzi mlioufanya tumefika mwisho,acha tuumie wote ikiwa hivyo, kuliko tuumie wenyewe nyie machawa mjione mko salama. Acha tuumie wote mjue tunaposema haki tunamaanisha nini.Kwani vyombo vyenyewe vikiwa Uuna interest za siasa unadhani halo itakuaje?
Bora Rais asishitakiwe Ili vyombo viwe na hofu kuliko vyombo kushika hatamu ni hatari mara buku kuliko hii mnayoisema Sasa hivi.
Umia wewe Sasa peke Yako ,nyie ndio wale nyumbu mlikuwaga mnada Nchi inatakiwa kutawaliwa kidikteta.Huu upuuzi mlioufanya tumefika mwisho,acha tuumie wote ikiwa hivyo, kuliko tuumie wenyewe nyie machawa mjione mko salama. Acha tuumie wote mjue tunaposema haki tunamaanisha nini.
Hakuna ambaye angekuwa na tatizo na dhalimu magu kama angekuwa dictator neutral. Unakuwa dictator halafu unatulazimisha tukikubali chama chako. Ukitaka kuwa dictator weka chama pembeni tumikia taifa, hata ukiingia utawala wa kijeshi tutawapa support wakiwa neutral, wakileta habari za uvyama hawana bahati.Umia wewe Sasa peke Yako ,nyie ndio wale nyumbu mlikuwaga mnada Nchi inatakiwa kutawaliwa kidikteta.
Mlipoonjeshwa kidogo tuu na Mwendazake mkaanza kumwaga makamasi.
Hakuna Mtanzania angetaka kuwa kama Sudan,ni Bora tubakie hivi hivi Ili nyie mnaotafuta madaraka hata mkiuana au kuuwawa hakuna shida yeyote Cha msingi sisi wengine tuwe na amani tuendelee kulima na kulisha Watoto
Toa upumbavu wako hapa,dikteta awe neutral? Una kichaa? Huoni wal kusikia?Hakuna ambaye angekuwa na tatizo na dhalimu magu kama angekuwa dictator neutral. Unakuwa dictator halafu unatulazimisha tukikubali chama chako. Ukitaka kuwa dictator weka chama pembeni tumikia taifa, hata ukiingia utawala wa kijeshi tutawapa support wakiwa neutral, wakileta habari za uvyama hawana bahati.
Ndio tunataka aje, tuone nyie machawa mtaishije.Toa upumbavu wako hapa,dikteta awe neutral? Una kichaa? Huoni wal kusikia?
Wakija hao hata hiyo mikutano mnayoita Haki za binadamu mtaishia kusoma kwenye historia.
Suala liko kwenye katiba.kwa suala la kuongeza mishahar akwa vyombo hivyo halikutakiwa kuongelewa kabisa, halitasaidia, labda wapunguziwe kwa sababu wakiongezwa mishahar andio watakuwa royal zaidi kwa wateule wao. ukiongezwa mshahara ukatumwa chochote ukakataa? si utaogopa watapiga panga? ila nimefurahi amenyoosha kidole moja kwa moja kwamba tatizo ni mamlaka ya uteuzi ambayo haiwezi kujikosoa ndio maana yeye anashauri, kwamba hiyo ndio panga pangua na ndiyo yenye mamlaka makubwa kuliko hao wote. nchi imefika pabaya sana kwa uchafu huu wa kutekateka.
Kwani vyombo vyenyewe vikiwa na interest za siasa unadhani halo itakuaje?
Bora Rais asishitakiwe Ili vyombo viwe na hofu kuliko vyombo kushika hatamu ni hatari mara buku kuliko hii mnayoisema Sasa hivi.
VYOMBO VIMEKUWA MALI BINAFSI YA CCM
Kikundi kinaua watu vyombo vya usalama vimetulia tu majeshi na usalama hakika tumekosea kuzaliwa h nchi
Hiyo aigipi amewekewa 1b kwenye account yake ili kumnyamazisha
Naunga mkono hoja akanyee mtondoo.
Kwa mahakama hizi za sifiasifia!Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.
Kwa mahakama hizi za sifiasifia!
Kumekuchwa!