Askofu Gwajima unapaswa kupambanua kuwa kauli ya Rais Samia kuhusu "Dini za Kishetani" haihusu kanisa lako

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.

Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu kanisa lake.
 
Duh 🙄
 
Haijawahi tokea wafuasi wa Yesu wakajitetea! Ila humuchia Mungu aliye hai kupambana hizo vita. Hii vita mwisho wake mtamu sanaaa!!! Yaani unajua mimi nilikuwa damu damu na Dkt Magufuli, yaani nilitukana mpaka viongozi wa dini (ila baadaye nilitubu), ila niambie Dkt Magufuli yupo wapi???? Nakuhakikishia kama ilivyotokea kwa Jezbel itatokea Tanzania. Siku hiyo nadhani watu watasherehekea kama yeye alivyosherehekea kifo cha Dkt Magufuli.
 
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.

Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu kanisa lake.
Hapo mlengwa ni Gwajima
 
Trust me atajibu😂
Get my art printed on awesome products_ Support me.jpeg
 
Hayati Magufuli
"Hakuna anayejua Siri nyingi za Nchini kama Raisi".
 
wakiristo mashetani

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

hahahahahaha nimecheka sana mashetani mmeambiwa ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.

Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu kanisa lake.
Askofu Gwajima apambanue nini?

Huyu mama aliyejipa jina la Rais - Chura Kiziwi ndiye shetani halisi mwenyewe ktk sura ya mwanamke - binadamu!
 
Tunamsubiria Gwajima ajibu pigo hili.
 
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.

Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu kanisa lake.
Kuna yule... Anajulikana
Alafu kuna dini za kishetani... Kama alikuwa kwa Wakristo akatoa kauli hiyo basi dini zote zilizobaki hapo ndo hizo alikuwa akizinaanisha!
 
Hapo mlengwa ni Gwajima
Kama yule... Mpinga utekaji (yeyote)
Dini za kishetani... Rejea maana ya dini na orodha ya dini kuu duniani!
Kama alikuwa kwa Wakristo akatoa kauli hiyo basi dini zilizobaki kama D
Uhindu, Ubuddha, Uislamu, Upagani, Taoism, Uyahudi n.k) ndo zinakuwa za kishetani!
 
Haijalishi kama anaenda kanisani au msikitini lakini moja ya tabia za kishetani ni blender kwa jinsia moja.
 
Back
Top Bottom