The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Ni wazi kuwa watu wamebaki kuwazawaza kuhusu maneno ya Rais Samia alipowapongeza KKKT kwa kazi nzuri huku akisema "sio kama yule na dini za kishetani". Watu wanaweza kufikiri alikuwa anamzungumzia Gwajima na Kanisa lake.
Sasa ni vyema askofu Gwajima akajibu hili na kuondoa dhana hii kuhusu kanisa lake.
Hiyo kauli siyo ya Gwajima. Katupa ndongo gizani. Kwa vile hakuwa specific inaweza kuhusu makanisa yote isipokuwa lile alilolisifia. Inawea kuwa la Gwajima, Catholic, makatisa ya Pentecost au Anglican.