WATANZANIA HUYU KATUMWA KUTUHAMISHA FOCUS, HATUONGELEI TENA TOZO ZA MIAMALA...π€§Ki
Kinachomsaidia asiwe Polish sasa Jovi ni UCCM wake
Hizi tuhuma anaweza kuzithibitisha? Kwani lazima azushe tuhuma za uongo ili kuwashawishi watu wasichanje?
Alitamka kuwa atamfuta Bashite kwenye Ulingo wa siasa. Dah! ...HUYU MASTER ALIWAHI KUTAMKA SHEHE MMOJA UTAKWENDA NAKWAMBIA PAMBANA NANGWAJY UONE..MIIEZi 3 mingi tulizika...
Aliwahiii kumtamkiaa ASKOFU Mmoja utakwendaaaa dah Yule ASKOFU aliponea nje ya NCHI wallahi naamini anasoma habare za gwajy dk ...
Mini napita TU akitamka mnaompingaaa mtakufaaa anzaa KUTUBU Kama vipiii
#andikaaanaurithiikabisaaaaaaushauriii
Alitamka kuwa atamfuta Bashite kwenye Ulingo wa siasa. Dah!
Ajawahi kuONGelea nje ya Kanisa.mkuu.kajipanga naona.MOGAnatakiwa akamatwe kama Mbowe. Si ndivyo?
TOZO IPI UJASIKIA WAKIAPISHWA WHWATANZANIA HUYU KATUMWA KUTUHAMISHA FOCUS, HATUONGELEI TENA TOZO ZA MIAMALA...
BASHITE STYLE.
MJADALA KAUHAMISHIA KWAKE....
HII NI POLITICAL SPIN! TOZO TUMEZISAHAU
Everyday is Saturday............................. π
Kapotosha wapi mathalan?Sasa mbona Mbowe anapotosha watu suala la katiba?
Kapotosha wapi mathalan?
Huko sio kupotosha kwa mtizamo wangu hio ni freedom of speech inayolindwa na Katiba inaruhusiwa kutoa maoni yako na kuishauri Serikali pamoja na kukosoa kwa staha1.Kasema Serikali ilazimishe watu wote kuchanjwa. Ni kinyume na katiba.
2.Kalazimisha kudai katiba wakati ameambiwa atulie kwanza tujenge uchumi
Chanjo inasaidia kupunguza maambukizi na makali ya athari za virusi vya Korona. Vilevile, kadiri virusi vinavyoendelea kusambaa na kuwepo duniani ndio vinazidi kupata mwanya wa kujibadilisha.Tukichanjwa wote Hatutaambukizwa ? ... Hapana bado unaweza Ambukizwa
Nikichanjwa Je niache kuvaa Mask?.. Unavaa Mask
Nikichanja naweza kuendelea na maisha ya kawaida?... Hapana
Nikichanjwa sitaambukizwa?.. Unaweza ambukizwa
Sasa kuchanja kunanisaidia Nini?.. Nyie mnakazania tu Chanjo hazina madhara ni Salama.
Kwa nini anaposema gwajima kuhusu madhara ya chanjo iwe anapotosha na so freedom of speech? Si serikali imesema hiyari? Na pia si kuna side effects? Na katiba si inasema ni hiyari? Kwa nini Mbowe alisema iwe lazima? Je hakuvunja sheria? Twende kwa logic tuHuko sio kupotosha kwa mtizamo wangu hio ni freedom of speech inayolindwa na Katiba inaruhusiwa kutoa maoni yako na kuishauri Serikali pamoja na kukosoa kwa staha
Kongamano la kudai Katiba mpya lilifanyika Dar na sikuona madhara yoyote kwanini lilipofanyika Mwanza ndio likawa la Kigaidi?
Kufanya Mongamano ndani ya Hoteli na Wageni waalilwa ambao hawafiki 60 kuna madhara gani?
Huyu binti "alifufuliwa"πnaona anaanza kuhamisha goli taratiibu, imeshakuwa chanjo feki tena..
Gwajima Mzee wa Kanisa la uzima na ufufuo, alianza kujipatia umaarufu pale aliposema anauwezo wa kumfufua marehemu Bi Amina Chifupa wa Mpakanjia mpaka leo tunasubiri kuona huo ufufuo.... Mnaohudhuria Kanisa kwake mmeshawahi kushuhudia ufufuo wowote hapo kwa wapendwa wetu....
Gwaji boy ni prophet? Wtf? Hell no, stop that shit plz. What? π‘Character ya true prophet ni pamoja na kusimamia unachoamini ni sahihi hata kwa gharama ya maisha yako... Wale wengine wanacheza mziki kadiri ya mdundo wa bi mkubwa.
Gwajima 2025 atangaze nia, atachukua nchi asubuhi, atakuwa Rais wa kwanza askofu nchini...au nasema uongo ndugu zangu ? πββοΈπββοΈπββοΈGwajima ana 'watu' jamani,yaani anapimana nguvu na Samia na anaelekea kushinda hili pambano. Gwajima kanyagia hapo hapo CCM hawakuwezi.
kiongozi wa dini, au mtu wa mungu akijua jambo la manufaa kwa watu wake lazima awaambie. unamwambia mtu achanje ni lini umempatia elimu ya faida na hasara za chanjo, na atakayewajibika/kutowajibika (disclaimer) na matokeo baada ya chanjo! ? kupotosha nn, kuchanja c. lazma, habari za kufa hazijaanza na koviko.Yeye keshachagua fungu lake la kutokuchanjwa aache kushawishi watu wengine wasichanjwe. Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
Usitutishe, kwa hili, ni Kama saa mbovu, Kama imekwamia saa kumi, basi, Kila saa kumi itakua sahihi.HUYU MASTER ALIWAHI KUTAMKA SHEHE MMOJA UTAKWENDA NAKWAMBIA PAMBANA NANGWAJY UONE..MIIEZi 3 mingi tulizika...
Aliwahiii kumtamkiaa ASKOFU Mmoja utakwendaaaa dah Yule ASKOFU aliponea nje ya NCHI wallahi naamini anasoma habare za gwajy dk ...
Mini napita TU akitamka mnaompingaaa mtakufaaa anzaa KUTUBU Kama vipiii
#andikaaanaurithiikabisaaaaaaushauriii
Electromagnetic effect itaua sana watu ambao hawajachanjwaHii ni debate wanaotaka chanjo vs wasiotaka chanjo.
hakuna anayekushawishi, watu wenye maono na uelewa mkubwa wanatoa hoja sisi audience tunaamua as long as una akili timamu ya kun'gamua.
binafsi sitaki chanjo na sio kwasababu Gwajima kaongea Mimi sipatani na tiba za hospitali mara zote najitibu mwenyewe.
Hii mtakuja kuelewa baadaye Sana maana electromagnetic itatumiwa kutoka kwenye miili ya watu waliochanjwa kufanya mauaji Kwa watu ambao hawajachanjwaChanjo inasaidia kupunguza maambukizi na makali ya athari za virusi vya Korona. Vilevile, kadiri virusi vinavyoendelea kusambaa na kuwepo duniani ndio vinazidi kupata mwanya wa kujibadilisha.
Hata ugonjwa wa TB. Unapopata chanjo dhidi ya TB, unapunguza uwezekano wa kuambukizwa kwa asilimia 20. Lakini bado chanjo inashauriwa, hasa kama kinga yako ya mwili inaruhusu.
Ni uwongo dhahiri. Hajafanya interview na madaktari mabingwa wakuu duniani. Anasema tu, hawezi kutaja majina yao. Bwana tamasha. Mtupu.Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.
Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima
Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.
Chanzo: Semina kanisani kwake
VIPANDE:
Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166
Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona
View attachment 1874169