Sasa ARV wanywaji wamezihakikisha??
Hizo chanjo zingine kina mama wanaopeleka watoto clinic wamezihakikisha??
Yellow fever, hepatitis e.t.c vaccination??
Dawa na madrip na masindano wagonjwa wanazihakikisha??
Je, zile dawa za kina dada za kuzuia mimba, kitanzi, vijiti, sijui vidonge, nani kavihakikisha??
Kumekuwa na hype, madaktari na wataalam wa VIRUS, hawasikilizwi, ila waliodandia fani, wanatafuta political mileage na followers kwa kasi ya upotoshaji ya ajabu.
Everyday is Saturday...............................
😎