mchwa mpaka
Member
- Nov 18, 2009
- 35
- 70
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana.
Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina katika maelezo yake polisi.
Kwa maelezo yake, ametumia zaidi ya milioni 170 kujitibu Afrika Kusini, Kenya, Muhimbili na KCMC kwa mwaka mmoja na nusu.
Take note: Askofu huyu ameoa kwenye familia ya Nyerere.
Msikilize hapa: