Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Soma uilewe kazi ya kiongozi wa dini ni kukemea uovu na sio kusifia uovu.Laiti Kama wangetenda kulingana na maandiko uovu ungekoma.Kwani katiba zao na wito wao waliopewa na Mungu aliwaagiza kuwa nendeni mkaiseme serikali?
Afrika mashariki viongozi wa dini wapo Kenya pekee kule hawana unafiki na wahuni uwaambia ukweli na sio kuwapambapamba na kuwakaribisha Hadi mbele madhabauni.Wengine wananuka damu kabisa kina Nkurunziza hata hapa wamejaa wanakaribishwa Hadi madhabauni kisa tu wahongwe pesa.
Mitume na manabii wote waliuwawa kwa kuzisema serikali dhalimu.