Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Biblia imesema dini na siasa ni kama mafuta na maji, Havichanganyikani.
 
Hiyo ni kazi ya genge la vijana wa CCM na Bashite.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Siasa ni maisha yako ya kila siku. Maisha yako yanaamuliwa na wanasiasa, ukisema ujitenge na siasa ni kuwa hujitambui. Mtu ana uwezo hata wa kuamua kama leo uvute oxygen au usivute, halafu useme mtu huyo hanihusu, then una walakini mkubwa sana! Mwanasiasa kwa nguvu alizonazo, anaweza akaja kwako kuwa leo nataka kufanya mapenzi na wewe hutaki unataka, na akakufanya..halafu useme huyo hanihusu? Una tatizo kubwa kama huwezi kuliona hilo! You have to fight that injustice kama unajielewa.
 
Biblia imesema dini na siasa ni kama mafuta na maji, Havichanganyikani.
Ila kupongeza siasa ina ruhusiwa, mafuta na maji yanachanganyikana, ila kupinga injustice hapo mafuta na maji hayachanganyikani... mtu mfu huyo!
 
Ila kupongeza siasa ina ruhusiwa, mafuta na maji yanachanganyikana, ila kupinga injustice hapo mafuta na maji hayachanganyikani... mtu mfu huyo!
Hayo sio maneno yangu. Ni manemo toka kwenye Biblia. Hutaki acha! Dini na siasa ni mafuta na maji.
 
Hayo sio maneno yangu. Ni manemo toka kwenye Biblia. Hutaki acha! Dini na siasa ni mafuta na maji.
Maneno ya Mungu sawa, lkn kama una akili unajiongeza. Maneno ya Mungu enzi hizo kuyatekeleza leo unajiongeza na wewe!
 
Basi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?

Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?

Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.

Nabii Isaya alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?

Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Echolima hivi inawezekana dini na siasa vikachangamana?, ufipa k vant sio nzuri
 
Maneno ya Mungu sawa, lkn kama una akili unajiongeza. Maneno ya Mungu enzi hizo kuyatekeleza leo unajiongeza na wewe!
Mungu habadiriki wala neno lake halibadiriki. ni yuleyule wa juzi, jana, Leo na kesho. Na ameonya atakaebadiri hata yodi moja ya neno lake yampasa kufungwa jiwe kubwa na kutoswa baharini.
 
Mungu habadiriki wala neno lake halibadiriki. ni yuleyule wa juzi, jana, Leo na kesho. Na ameonya atakaebadiri hata yodi moja ya neno lake yampasa kufungwa jiwe kubwa na kutoswa baharini.
All in all, nipe tangible evidence kuwa Mungu yupo, siyo revelations!
 
Kama umeanzisha Kanisa lako ungeatafuta Biblia yako ingekufaa sana. Aliyekwambia visa vya Watu wa Mungu kukemea watawala viliishia Agano la Kale ni nani? Kumbe akili zako na za huyo Demu zinafanana? Mitume wote wa Yesu waliouawa waliuliwa na Waisrael? Yesu alipozaliwa na kisha kufichwa Misri alikuwa anamkimbia Muisrael? Hujui kitu kaa kimya usipotoshe Biblia huijui.
Wana biblia yao hao mkuu.
 
Mfalme Hezekia alikuwa muumini wa Nabii Isaya anasali kanisani kwake ndipo nabii Isaya akaongea naye binafsi kama muumini wake wala hakuongea naye kwa kuhutubia mkutano wa hadhara tofauti na hawa viongozi wa dini uchwara wa sasa hivi.Mtu sio muumini wako hasali kanisani kwako unaposalisha unamshikia mi vipaza sauti kwenye mkutano wa hadhara au mitandaoni ohh atubu !!!!

Kuonya mtu hasa mtawala kuna taratibu zake ukizikiuka hata Mungu hawezi kukutetea likitokea la kutokea
YESU alipomwaambia nendeni mkamwambie Yule mbweha (herode). Ilikuwa kwa Siri?. Wewe ni mmoja wa wauwaji kwani mshawaumiza wengi tu. Ila juweni maandiko yanasema. MUNGU AMEFANYA KILA KITU KWA KUSUDI, NAAM HATA WABAYA KWA SIKU YA UBAYA. tumweni kuumiza WATU Ila mjue MUNGU ATAZIDAI DAMU ZA WATU MIKONONI MWENU.
 
YESU alipomwaambia nendeni mkamwambie Yule mbweha (herode). Ilikuwa kwa Siri?.
Gharama Yesu aliilipa kwa kuuawa kwa kusulubiwa mwisho wa siku

Shambulia mtawala WA kisiasa ukiwa kiongozi wa dini Upendavyo cha msingi uwe tayari kwa chochote kitakachokupata kama ilivyotokea na kwa Yohana mbatizaji aliyemshambulia Herode mwisho wa siku akalipa gharama kwa kukatwa kichwa
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Vipi kuhusu Yohane Mbatizaji na Herode?
 
Gharama aliilipa kwa kuuawa kwa kusulubiwa mwisho wa siku

shambulia mtawala ukiwa kiongozi wa dini cha msingi uwe tayari kwa chochote kitakachokupata kama ilivyotokea na kwa Yohana mbatizaji
Uzuri unakubali kekemea. Gharama kila mtu atalipa. Kwa kila DHAMBI utalipa. Ndiyo maana YESU alisema aliyenitia MIKONONI mwako ana dhambi kubwa zaidi.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Mama husomi biblia wewe..
Mbona mitume na manabii kibao walikaripia serikali na walikosoa serikali kwenye biblia?

#YNWA
 
Kukemea udhalimu sio SIASA!! Jukumu la viongozi wa dini ni Kukemea DHAMBI, sio siasa za CHADEMA na CCM. Dhambi ni standard, haina chama. Kukemea maovu ni jukumu la kila mmoja, bali kujiingiza kwenye siasa sio wajibu wa viongozi wa kidini. Kama mkristo anavyoweza kuwa rais kwenye zama hizi, ndivyo ilivyo kwa mwislamu n.k. Tuache kumshusha Mungu kwa kumhusianisha na mifumo ya hovyo ya kidunia.
Ndiyo maana wakisemaga kiongozi Fulani wa serikali ni chaguo la MUNGU nawaonaga Wana matatizo
 
Echolima hivi inawezekana dini na siasa vikachangamana?, ufipa k vant sio nzuri
Huwezi tenganisha siasa na dini na wanaotaka kufanya hivyo ni waoga tu hawataki kushindwa,Siasa na Dini vikiwa pamoja ndiyo mambo yatakaa sawa lakini watawala hawataki hii itokee maana wana mambo yao huko hawataki yawe wazi wanaonea watu,wanaiba kura na wanabambikizia watu kesi sasa wakuu wakaona wa-Isolate Dini kwa kuwa Dini mara zote wanataka haki itendeke na watawala hawataki haki wao wanataki mambo yao tu yapite.Laiti kama wangeruhusu dini ziwakilishwe vizuri wizi na uhuni wa kufuta matokeo havingekuwepo!!!
 
Back
Top Bottom