Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kama uandishi wenyewe ndo huu wa kuandika BANA basi tatizo lako ni kubwa sana.
Leta vifungu bana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta vifungu bana,
Askofu hata kama alikua anakula mke wa mtu atasingizia siasa tu
Kuna kiongozi kalewa chakari kavinja mguu,wapambe wakasingizia siasa,polisi wametoa taarifa ya uchunguzi wa awali,mpaka leo hatujawasikia tena wapambe wala aliejeruhiwa
Tusipende kusema uongo,tunamuudhi sana Mungu
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kama akina Gwajima?Kwahiyo mmeona huyo askofu katekwa kwasababu za kisiasa?au ndo watanzania wa jamii forum katika ubora wenu
Hivi Yohana kisa cha kukatwa kichwa ni i kukemea mambo ya siasa? HujuiBasi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?
Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?
Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.
Nabii Isaya alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?
Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Mhusika n mwenye kampuni ya ulinzi,jamaa anasura mbaya kama roho yakeNafikiri tunapojadili issue ya Askofu tuijadili bila kuingiza hisia. Tuvae utu na ubinadamu. Tukio la kutekwa na kuvalishwa taulo lenye kemikali za sumu ni la Mei 2018 na aliwatambua wawili kati ya watu tisa kuwa ni miongoni mwa wale aliokutana nao baada ya OCS kituo cha Majengo kutoa namba zake kwa hao watekaji. Kuna ushahidi mzuri kama huo? Ushahidi huo unaunganika na ule wa vijana wa bodaboda waliomuokota na kumpeleka hospitali. Hilo la kwanza. Lakini la pili, wale wawili aliowatambua ndio ambao alikutanishwa nao na OCS Majengo ambaye ndiye aliyetoa namba zake, ili wazungumze nje ya utaratibu wa kipolisi kuhusu shauri lake la kuibiwa vitu na fedha vyenye thamani ya over 8 milioni alipoegesha gari lake katika grocery ya Kwa Minja. Ni watu hao hao ambao wawili ndio walikuja kumteka. Sasa tujiulize, tangu 2018 alipoandikisha maelezo na kuwataja waliihusika, polisi Moshi walichukua hatua gani? Leo unaitwa ukatoe maelezo upya kwa polisi wale wale.
Hahahaaa raha sana tatizo ma opportunists wao huwaza tumbo tu kwao humanity ni kero!Alijua kwenye bible atakuta sehemu imeandikwa ccm au chadema labda.
Hivi Yohana kisa cha kukatwa kichwa ni i kukemea mambo ya siasa? Hujui
Kasome tena,
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wewe ni jinga! Ulitaka Yohana aorodheshe wote..Wewe ndo hujui.ulitaka mambo ya siasa yawe ni kuanzisha chama? Huelewi kuwa Hwanasiasa alitumia nafasi yake ya kisiasa kujichukulia mwanamke mwingine? Unadhani asingekuwa mwanasiasa mkubwa Yohana angeenda kumkemea na kusababisha kukatwa kichwa?
Panua akili...katika Israel miaka hiyo walikuwepo wengi waliotenda dhambi kama hizo au zaidi. Wapi au nani mwingine ulisikia amekemewa na Yohana? Unadhani angekuwa amekukemea wewe kapuku pako pakavu angeandikwa na kukatwa kichwa? Panua akili
Usidhani siasa mpaka uone pameandikwa Ccm naa Chadema. Au mbunge na waziri...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We mwenyewe una IQ 0, unadhani unaweza kufikiri kwa viwango?@Mamdenyi uko sahihi kabisa. Huwa nawashangaa wanaokimbilia Agano la Kale kuhalalisha kanisa kujihusisha na siasa za dunia. Wanachukua mfumo wa taifa la Israeli ya kale wanajaribu kuuoanisha na serikali za sasa.
Yesu Kristo hakuwahi kuwa na ugonvi na "serikali" badala yake maadui zake namba moja walikuwa watu wa "dini." Pilato alijaribu kumfungua awe huru, watu wa dini walisema nini?
Sio sawa kuhubiri siasa badala ya habari za ufalme wa Mungu. Yohana Mbatizaji hakufungwa kwa sababu za kisiasa bali baki za binadamu. Sababu za haki za binadamu kwa kumkemea Herode kupora mke wa ndugu yake, hilo nalo ni siasa? Tafakari
Wewe ni jinga! Ulitaka Yohana aorodheshe wote..
hujui usemacho!Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
mkuu, ngoja tuanze taratibu, lets define the word politics.........@Mamdenyi uko sahihi kabisa. Huwa nawashangaa wanaokimbilia Agano la Kale kuhalalisha kanisa kujihusisha na siasa za dunia. Wanachukua mfumo wa taifa la Israeli ya kale wanajaribu kuuoanisha na serikali za sasa.
Yesu Kristo hakuwahi kuwa na ugonvi na "serikali" badala yake maadui zake namba moja walikuwa watu wa "dini." Pilato alijaribu kumfungua awe huru, watu wa dini walisema nini?
Sio sawa kuhubiri siasa badala ya habari za ufalme wa Mungu. Yohana Mbatizaji hakufungwa kwa sababu za kisiasa bali baki za binadamu. Sababu za haki za binadamu kwa kumkemea Herode kupora mke wa ndugu yake, hilo nalo ni siasa? Tafakari
Ipo siku kuna mgonjwa atataka ale chakula alichopika rais ndio atapona kwa kuwa anamwaini sana rais.😁Nimegundua watu wengi humu hawakuisikiliza video clip ya huyo askofu .
Watu wamesoma tu kichwa cha habari na kuanza kutoa maoni.
Askofu amelaumu Jeshi la Polisi kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa Watuhumiwa wake ambao anawajua.
Na ametaja kabisa kuwa ni kampuni ambayo aliwahi kukaa na baadhi yao kwenye kikao.
Hakusema kuwa ni watu wasiojulikana.
Hakumlaumu kiongozi yeyote wa serikali.
Askofu ameomba kukutana na Mh. Rais ili amweleze ukweli wote kwa sababu anamwamini sana Rais.
Askofu amesema ana siri nzito na mtu pekee wa kumweleza ni Mh.Rais kwani anamwamini sana.
Kwa hiyo kuhusisha utekwaji wake na suala la utawala wa awamu ya tano ni kupotosha. Lakini pia kuhusisha kutekwa na kuwekewa sumu kwa askofu na suala la kuchanganya dini na siasa pia ni kupotosha.
Tumwache askofu aonane na Mh. Rais ili apate haki yake.
Kama kuna polisi wanaoshirikiana na mabeberu kudhulumu haki ya huyo askari basi hatua zitachukuliwa.
Maeneo hayo ya miji ya Moshi na Arusha yamekithiri kwa vitendo vya kikatili vinavyofanywa na Mabeberu hasa kwenye masuala ya kibiashara na ardhi na Mali.
Bado serikali ina kazi kubwa ya kulinda watu na Mali na biashara zao kwa kuleta ushindani wa haki kwenye biashara mana Mabeberu wa mikoa ya Mwanza ,Arusha,Moshi, Musoma bado wanatumia mitutu kuondoa washindani wao wa kibiashara.
Kwa taarifa yako wewe taahira biblia ina mhusu kila mtu!Seee unavyoonesha umaamuma wako? Unadhani kwa nini alitajwa Herod na hao wengine hawakutajwa? [emoji16][emoji16]
Unaelewa nini kuhusu THEOCRATIC GOVERNMENT? Uache kusoma biblia kwa kukurupuka, tafakari kupata ujumbe.Jibu ni Jepesi sana. SAMWELI ALIPOENDA KUMKEMEA SAULI MFALME ALIMKEMEA KWA MAKOSA GANI? MFALME ALIKUWA MWANASIASA AU HAKUWA MWANASIASA?
au huelewi maana ya Siasa na Huelewi maana ya Dini/Imani? Unataka Siasa kwenye Biblia mpaka wataje Chadema na CCM?
Samweli alihusika katika kumchagua Daudi kuwa Mfalme/Rais wa Israel. Hii hudhani ni siasa? Mbona ni mambo mepesi sana kuyaelewa. Naona una wayawaya tu.
Hapa tunazungumzia utekaji haijalishi awe shehe ,padri au askofu je ni sawa ,kwanza akicha kuwa askofu akawa mwana siasa ataachwa kutekwa? Swali kwann watekaji wameachwa huru bila kujali wamemteka nani?Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.