Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Kwani katiba zao na wito wao waliopewa na Mungu aliwaagiza kuwa nendeni mkaiseme serikali?
Soma uilewe kazi ya kiongozi wa dini ni kukemea uovu na sio kusifia uovu.Laiti Kama wangetenda kulingana na maandiko uovu ungekoma.
Afrika mashariki viongozi wa dini wapo Kenya pekee kule hawana unafiki na wahuni uwaambia ukweli na sio kuwapambapamba na kuwakaribisha Hadi mbele madhabauni.Wengine wananuka damu kabisa kina Nkurunziza hata hapa wamejaa wanakaribishwa Hadi madhabauni kisa tu wahongwe pesa.
Mitume na manabii wote waliuwawa kwa kuzisema serikali dhalimu.
 
Naona mjadala umehama. Kuna binadamu amefanyiwa unyama na haki yake inapindishwa. Hili ndio la msingi na si ubishani na ubingwa wa vifungu.
 
Muhusika mkuu ni mmliki wa hotel Hakuna kupr
Naona mjadala umehama. Kuna binadamu amefanyiwa unyama na haki yake inapindishwa. Hili ndio la msingi na si ubishani na ubingwa wa vifungu.
Mmiliki wa hotel anajua kila kitu wanyooke nae
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
wajinga na wenye mambo maovu ndio wenye huu msimamo
 
Yaani vitu vya agano la kale tuviache. Adam na hawa tutapata wapi habari zao? Ni andiko gani linasema tuache agano la kale au halifai?

Wanasiasa ndo waongelee dini ila watu wa dini wasikosoe wanapoona maovu kwenye siasa? kwa hiyo wanasiasa sio waumini wa dini hadi wasikemewe.
Tunawaalika kufanya nini kwenye mikutano yetu ya siasa

Unahitaji kupimwa akili yako
 
Huyo askofu Kama sio kada imekula kwake amwaachie tu Mungu

Tatizo nchi hii ukiwa Kada hata uue mtu kama yule Mkurugenzi unaweza kuachiwa hata ufanye kosa ambalo huwezi kupata dhamana unaweza achiwa tu kama yule mbunge wa ccm shinyanga mhujumu uchumi kaachiwa na mabunduki yake!!Kwa kweli kuna raha yake kuwa kada wa ccm!!
 
Hujanielewa mkuu, agano la kale lipo Tu. Lakini MFUMO WA SERIKALI tunaopenda kujifichia hivi leo HAUPO YENA duniani. Ni uongo mkubwa kujaribu kuoanisha mfumo wa taifa la Israeli la nyakati za kina mfalme Daudi na serikali za kileo. Tuwe wakweli Tu.

Pia kuhusu agano la kale kama linafaa ama halifai, soma agano jipya Wagalatia na Waebrania. Ukihitaji ufafanuzi njoo tena.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Acha kuonesha ujinga wako huyo Solomon alikuwa kiongozi na mfalme hiyo dini au siasa, huwezi tengenisha hivi vitu ni kauli za kijinga tu kuwaza hivyo ila dini zote zimeanza kama njia za kukomboa wanyonge na ndo siasa yenyewe hiyo
 
Mkuu Umemchapa KO moja Matata sana..
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Usomi wako ni BURE !
 
LK. 9:23 SUV
Akawaambia wote, Mtu ye yote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate.

Na huu ndio wito wa wachungaji sio kupambana na serikali
Uwo mstari unamuhusu kila mtu aliyeamua kumfuata YESU ajikane ajitwike msalaba anifuate. Siyo wachungaji.
 
Kwani Maaskofu wetu hawakemei uvunjifu wa haki za binadamu? Umemsikia askofu gani akihubiri habari za upinzani madhabahuni? Wakiwakemeeni juu ya haki za binadamu kwa kutekwa wakosoaji , kupigwa risasi wakosoaji, kubambikia kesi wakosoaji mnasema wasichanganye dini na siasa. Hivi mmerogwa na nani hadi mmepoteza uwezo wakuona?
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Mamndeny, Wewe ndiye ambaye umekosea katika usomaji wako wa Biblia! Watu wakubwa wengi katika Biblia walideal na politics kwa lengo la kuwaletea watu yaliyo mapenzi ya Mungu kwenye eneo hilo muhimu la maisha ya watu! Kuwatoa viongozi wetu kwenye politics ni sawa na kusema hatumtaki Mungu kwenye siasa zetu na hapo ndipo tunapokwama! Hivi unajua kwamba Torati ya Musa ndiyo katiba Ya Israel?!
 
Kumbe udhalimu sio dhambi? Hakuna mtu anayemshusha Mungu. Mungu anaishi katika haki, anayetenda na kutetea haki anamtukuza Mungu wa haki
 
Wachungaji na maaskofu wetu katu kwa sasa hawawezi kufanya hivyo wanaogopa kufutiwa Makanisa yao ikiwa na pamoja na kupotezwa nao imebidi wajiunge tu na Praise Team ili kitumbua chao kisiingie mchanga!!!
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Utakuwa ulikuwa umelewa kila usomapo hivyo vitabu.😂😂
Kwenye biblia hakuna siasa?!!
Yesu alichukiwa na akina nani?
Bure kabisa mamdenyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…