Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Kwani Maaskofu wetu hawakemei uvunjifu wa haki za binadamu? Umemsikia askofu gani akihubiri habari za upinzani madhabahuni? Wakiwakemeeni juu ya haki za binadamu kwa kutekwa wakosoaji , kupigwa risasi wakosoaji, kubambikia kesi wakosoaji mnasema wasichanganye dini na siasa. Hivi mmerogwa na nani hadi mmepoteza uwezo wakuona?
Pole sana, nadhani unaandika huku ukuona aibu.
 
Tatizo nchi hii ukiwa Kada hata uue mtu kama yule Mkurugenzi unaweza kuachiwa hata ufanye kosa ambalo huwezi kupata dhamana unaweza achiwa tu kama yule mbunge wa ccm shinyanga mhujumu uchumi kaachiwa na mabunduki yake!!Kwa kweli kuna raha yake kuwa kada wa ccm!!
Kama DC mpya wa Arusha kuwatishia kuwauwa kina Mbowe na zitoo ndo kumembeba
 
Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana.

Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina katika maelezo yake polisi.

Kwa maelezo yake, ametumia zaidi ya milioni 170 kujitibu Afrika Kusini, Kenya, Muhimbili na KCMC kwa mwaka mmoja na nusu.

Take note: Askofu huyu ameoa kwenye familia ya Nyerere.

Msikilize hapa:

View attachment 1484754

Baba askofu kama kweli anawajua, na amewataja majina polisi lakini hawajachukuliwa hatua, atutajie majina hadharani, tukishajua tu majina yao tutayatumia kupata details zao zingine, then tutawafundisha adabu! Tupo vigilantes wa kutosha kitaa, tumechoshwa na utawala wa kitemi, ni muda wa ku-deal na familia zao, tukizimaliza tunarudi kwao
 
Hatua hiyo sasa si nzuri kabisa unaumiza na wasiokuwemo!!!!
 
Hatua hiyo sasa si nzuri kabisa unaumiza na wasiokuwemo!!!!
Ikidhihirika na tukawafahamu wanaotesa watanzania wenzao kwa maelekezo ya wahuni wachache wanaofikiri wana hatimiliki ya hii nchi hakika ni jino kwa jino! Tutafyeka kuanzia mtoto mpaka bibi mtu, kizazi kikiisha tunarudi kwa muuaji aliyetekeleza maelekezo ya wenye mamlaka. Tumechoka, sasa basi!
 
Kw
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kwa hiyo siasa ndio ilimteka?? Zile zile Noah za ccm😄
 
Askofu hata kama alikua anakula mke wa mtu atasingizia siasa tu
Kuna kiongozi kalewa chakari kavinja mguu,wapambe wakasingizia siasa,polisi wametoa taarifa ya uchunguzi wa awali,mpaka leo hatujawasikia tena wapambe wala aliejeruhiwa
Tusipende kusema uongo,tunamuudhi sana Mungu
Kamwe hakuna Noah nyeusi tofauti na zile za wanaccm za kutekea na kutesa watu
 
Ikidhihirika na tukawafahamu wanaotesa watanzania wenzao kwa maelekezo ya wahuni wachache wanaofikiri wana hatimiliki ya hii nchi hakika ni jino kwa jino! Tutafyeka kuanzia mtoto mpaka bibi mtu, kizazi kikiisha tunarudi kwa muuaji aliyetekeleza maelekezo ya wenye mamlaka. Tumechoka, sasa basi!
Ndivyo inavyotakiwa
 
@Mamdenyi uko sahihi kabisa. Huwa nawashangaa wanaokimbilia Agano la Kale kuhalalisha kanisa kujihusisha na siasa za dunia. Wanachukua mfumo wa taifa la Israeli ya kale wanajaribu kuuoanisha na serikali za sasa.

Yesu Kristo hakuwahi kuwa na ugonvi na "serikali" badala yake maadui zake namba moja walikuwa watu wa "dini." Pilato alijaribu kumfungua awe huru, watu wa dini walisema nini?

Sio sawa kuhubiri siasa badala ya habari za ufalme wa Mungu. Yohana Mbatizaji hakufungwa kwa sababu za kisiasa bali baki za binadamu. Sababu za haki za binadamu kwa kumkemea Herode kupora mke wa ndugu yake, hilo nalo ni siasa? Tafakari
Hopeles thinking. Hapa shida sio siasa shida ni kutekana kuuana na kutesana. Hii haina justification yoyote. Vinginevyo mna roho mbaya sana.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.

Hii si sawa hapa umechemka @ Madam!

Hii si sawa hata kidogo.

Itakuwa nidhamu ya woga!

Kwa hiyo unashauri na kwenye kupiga kura wasipige?

Kama wanapiga kura kwani kunakuwa na nongwa gani kama wakishiriki siasa ya amani?

Wao nao ni raia wa kawaida kama raia wengine, haki zao za msingi ziko pale pale!

Halafu huenda Biblia hujaisoma vizuri, endelea kuisoma utapata kuielewa vema.

Kina Yusuph ni mfano wa wanasiasa ambao walikuwa watumishi wa Mungu pia!
 
Ikidhihirika na tukawafahamu wanaotesa watanzania wenzao kwa maelekezo ya wahuni wachache wanaofikiri wana hatimiliki ya hii nchi hakika ni jino kwa jino! Tutafyeka kuanzia mtoto mpaka bibi mtu, kizazi kikiisha tunarudi kwa muuaji aliyetekeleza maelekezo ya wenye mamlaka. Tumechoka, sasa basi!
Roho ya aina hiyo ya kulipiza visasi na Ishindwe na inyong`onyee kwa Majina yote Matakatifu,Mambo kama hayo ya visasi ndiyo yanayowatesa mpaka leo hii Waarabu huko mashariki ya kati!!!
 
Hopeles thinking. Hapa shida sio siasa shida ni kutekana kuuana na kutesana. Hii haina justification yoyote. Vinginevyo mna roho mbaya sana.
AAsiyejua maana haambiwi maana. Mimi siongelei kutekwa ama kumwagiwa tindikali, niko kwenye point moja tu, siasa na dini. Sasa usinilitee mawazo yako mfu kwa sababu umejenga picha fulani kichwani mwako, ficha upumbuvu wako!
 
Hapo mzee hazungumzii siasa anazungumzia afya yake na kutekwa kwake wewe mambo ya siasa unayatoa wapi.

Hopeless
 
Back
Top Bottom