Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

Njaa Haina heshima,hapo anapigania ugali wake,mshahara wa milioni na nusu,gari,nyumba,posho,
Hawa maaskofu ukiwatoa hapo,hawawezi kuendesha maisha yao,
Hapo ni kufa na kupona wanapigania sadaka za waumini
Haya mambo yanasikitisha sana.
Askofu Shoo Mkuu wa KKKT aingilie kati.
 
Kama hutaki ku reason, na kukubaliana na facts, hatuwezi kukulazimisha kufungua macho.
Lakini mwisho wa ukaidi na tamaa ni aibu itakayo mmfadhesha si tu mhusika bali kanisa kwa ujumla.
Watu hamjui kuwa Askofu si kanisa bali waumini waliowengi.
Hli swala limefika wapi sasa.
Wamepatana?
 
Daah, kipindi nasoma seminary moja huko Tukuyu kipindi hicho Dayosisi ya Konde ilikuwa chini ya Askofu Mwakyolile na makao makuu ilikuwa hapo Tukuyu.

Je, huyo Askofu amehamishia wapi hayo makuu ya Dayosisi?

Mimi naona kuna umuhimu wa kuigawanya hii Dayosisi Coz ina operate eneo kubwa.

Dayosisi ya Konde ni moja kati ya Dayosisi zilizo na utajiri mkubwa sana na mali nyingi sana, na hii ndio sababu inayopelekea kuwepo kwa migogoro kila siku.

Askofu Mwakyolile🙌🙌🙌😹🤔, Mwamba Kipindi alikuwa anachuma sana mali ya Dayosisi
 
Mbona Askofu Mwakyolile alishastaafu kitambo.
Anayelalamikiwa sasa ni Askofu Mwaikali aliyemrithi.
 
Mengele kalichafua sana KKKT amekuwa Askofu wa kwanza SD kujiingiza kwenye ushirikina na genge lake
 
Mengele kalichafua sana KKKT amekuwa Askofu wa kwanza SD kujiingiza kwenye ushirikina na genge lake
Du....... huyo askofu Mengele ni kigagula na wanafuga mapepo wachafu?
Watalipwa maovu yao muda si mrefu.
 
Mengele kalichafua sana KKKT amekuwa Askofu wa kwanza SD kujiingiza kwenye ushirikina na genge lake
Hii ni sifa mbaya zaidi kwa Askofu Mwaikali.
Kampani yake ni maaskofu washirikina?
Imekuwa birds of the same feathers waruka pamoja!
Sasa hapo roho ya upatanishi itatoka wapi?
 
Mpumbavu Mkubwa wewe, na acha kupotosha watu.
Askofu Mwaikali hajahamisha hayo Makao Makuu ni Vikao na wewe unafahamu maamuzi yanafanywa na Vikao na mengine yalifanyika hata hajawa Askofu kayakuta Mwishoni.
Wewe unakimbilia huku kupotosha watu ili ufanikiwe katika siasa zako za Makanisani.
Peleka ujinga wako kule,kwanini usiende huko SMitaa ukafanye siasa unahamishia Makanisani Lione!
 
Dah kanisa la KKKT Tukuyu mjini nimesali sana.
 
Aisee.......uko ile kamati ya ushirikina pamoja na mpambe wenu Askofu Mengele?
 
Du....... huyo askofu Mengele ni kigagula na wanafuga mapepo wachafu?
Watalipwa maovu yao muda si mrefu.
Walishaanza kulipwa mkuu tazama yanayowakuta, fuatilia mmojammoja utasikia mengi
 
Kukosa unyenyekevu, uongo na kutukana ndio sifa kuu ya mtu anayeongozwa na Ibilisi.

Mtashindwa tu maana katika yote mnayopanga Mungu hayupo pamoja nanyi.
 
Hili Kanisa la KKKT halitakaa litulie. Lands liige Mfumo wa Kanisa Katoliki. Huko hakuna migogoro. Ni dogma tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…