Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kazi sana. Hii migogoro isiyoisha inatoa taswira gani?KKKT migogoro kila uchao jifunzeni Kanisa Katoliki mbona hakuna migogoro ya namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi sana. Hii migogoro isiyoisha inatoa taswira gani?KKKT migogoro kila uchao jifunzeni Kanisa Katoliki mbona hakuna migogoro ya namna hii
Huelewi hata maana ya uaskofu..kaa utulie..ufiche ujinga wako.Maaskofu wapo katoliki tuu.....awa wengine ni majina tuu
Mpumbavu Mkubwa wewe, na acha kupotosha watu.
Askofu Mwaikali hajahamisha hayo Makao Makuu ni Vikao na wewe unafahamu maamuzi yanafanywa na Vikao na mengine yalifanyika hata hajawa Askofu kayakuta Mwishoni.
Wewe unakimbilia huku kupotosha watu ili ufanikiwe katika siasa zako za Makanisani.
Peleka ujinga wako kule,kwanini usiende huko SMitaa ukafanye siasa unahamishia Makanisani Lione!
Kukosa unyenyekevu, uongo na kutukana ndio sifa kuu ya mtu anayeongozwa na Ibilisi.
Mtashindwa tu maana katika yote mnayopanga Mungu hayupo pamoja nanyi.
Sasa familia zao zitakula wapi jamaniHilo linasikitisha.
Watu badala ya kumhubiri Mungu wanagombania sadaka.
Tumbo liko mstari wa mbele.Sasa familia zao zitakula wapi jamani
KKKT ni kanisa ambalo maaskofu wana hisa, biashara tupu.Hili Kanisa la KKKT halitakaa litulie. Lands liige Mfumo wa Kanisa Katoliki. Huko hakuna migogoro. Ni dogma tu!
Bahati mbaya wamefumbwa macho, wanaogelea na yule mwovu.Hao ndio wachawi wanaompotosha sikofu
Vibaya sanaBahati mbaya wamefumbwa macho, wanaogelea na yule mwovu.
Tukifikiri mgogoro umekwisha lakini ndio kwanza unaanza.Vibaya sana
Kwenye mediation unapopata nafasi ya kuwa mediator sharti ukae katikati, hata kama unajua upande mmoja ndio unazingua wewe sharti uwe impartial ili kutafuta suluhu, huu ndio tunaita unafiki wenyewe wa kidiplomasia. Kuna wengine hawana, mfano uliotolewa possible ni kweli ana Siri nyingi za hao masista ila sasa kuziaddress ndio shida ilipo ndio maana watu huchagua kuongea kile watu wanachopenda kusikia....... Ila bwana yule alikuwa anaongea chochote kinachomjia kichwani.
Bagonza yuko bize na siasa ila haoni hii migogoro!!!KKKT migogoro kila uchao jifunzeni Kanisa Katoliki mbona hakuna migogoro ya namna hii
Askofu Bagonza yuko bize na kupinga Chato kuwa mkoa ila haoni hii migogoro kabisa.Haya mambo yanasikitisha sana.
Askofu Shoo Mkuu wa KKKT aingilie kati.
Askofu Bagonza ni huko huko.Askofu Bagonza yuko bize na kupinga Chato kuwa mkoa ila haoni hii migogoro kabisa.
Hakuna kitu majungu hapa.
Kuna ukweli wa mambo kuwa huyu Askofu HATAKIWI na waumini aliowatelekeza Tukuyu.
Hayo si majungu.
Askofu amekosa ridhaa , hayo si majungu.
Kwamba mpaka sasa kuna kundi kubwa tu la watu WANAPINGA maamuzi ya hila kuhamisha makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya , hayo si majungu.
Pengine huelewi maana ya majungu, majungu ni kupika UONGO unaoelekea ukweli ili mtu kupitisha ajenda yake.
FACTS nilizokupa hapo juu ni halisi na siyo siri kadri siku zinavyokwenda Askofu huyu anazidi kukosa upako wa kuongoza kiroho.
Kanisa siyo jeshi, ambapo unasema kushoto geuka , na waumini wana geuka.
Msingi wa mgogoro huu ni nini?
Upende usipende , ni maslahi binafsi.
Maslahi binafsi yakiwa kipaumbele moyoni, hakuna kujishusha na kunyenyekea waumini.
Jana mama Samia katupa dongo, nalo ita kuwa ni majungu.
MIGOGORO KANISANI NI AIBU KUBWA, watu hawamuogopi Mungu na kujishusha!
Hayo si majungu ndugu yangu , na Askofu analitia aibu Kanisa.
Tuliopo DSM tunakumbuka ya Askofu Ngwamba.
Historia inajirudia.
View attachment 1956855