Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

Something is not ok somewhere. Hii migogoro ya KKKT ina kitu ndani yake. Ni kwa maslahi ya nani? Ilianza kule Dayosisi ya Arumeru miaka ile Enzi za Askofu Kweka. Haijawahi kuisha mpaka leo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mpumbavu Mkubwa wewe, na acha kupotosha watu.
Askofu Mwaikali hajahamisha hayo Makao Makuu ni Vikao na wewe unafahamu maamuzi yanafanywa na Vikao na mengine yalifanyika hata hajawa Askofu kayakuta Mwishoni.
Wewe unakimbilia huku kupotosha watu ili ufanikiwe katika siasa zako za Makanisani.
Peleka ujinga wako kule,kwanini usiende huko SMitaa ukafanye siasa unahamishia Makanisani Lione!

Hawa ndio wachawi wanaomshauri huyo sikofu
 
....... Ila bwana yule alikuwa anaongea chochote kinachomjia kichwani.
Kwenye mediation unapopata nafasi ya kuwa mediator sharti ukae katikati, hata kama unajua upande mmoja ndio unazingua wewe sharti uwe impartial ili kutafuta suluhu, huu ndio tunaita unafiki wenyewe wa kidiplomasia. Kuna wengine hawana, mfano uliotolewa possible ni kweli ana Siri nyingi za hao masista ila sasa kuziaddress ndio shida ilipo ndio maana watu huchagua kuongea kile watu wanachopenda kusikia
 
Askofu Bagonza yuko bize na kupinga Chato kuwa mkoa ila haoni hii migogoro kabisa.
Askofu Bagonza ni huko huko.
Sisi tunalia na Kiti ha Askofu, na inaelekea mzozo ni mkubwa zaidi kwa vile kuna tuhuma nzito ambazo hazijajitokeza.
Tuhuma hizo zitatoka tu maana kuna kundi halitaki kusikiliza suluhu.
 
Hakuna kitu majungu hapa.
Kuna ukweli wa mambo kuwa huyu Askofu HATAKIWI na waumini aliowatelekeza Tukuyu.
Hayo si majungu.
Askofu amekosa ridhaa , hayo si majungu.
Kwamba mpaka sasa kuna kundi kubwa tu la watu WANAPINGA maamuzi ya hila kuhamisha makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya , hayo si majungu.
Pengine huelewi maana ya majungu, majungu ni kupika UONGO unaoelekea ukweli ili mtu kupitisha ajenda yake.
FACTS nilizokupa hapo juu ni halisi na siyo siri kadri siku zinavyokwenda Askofu huyu anazidi kukosa upako wa kuongoza kiroho.
Kanisa siyo jeshi, ambapo unasema kushoto geuka , na waumini wana geuka.

Msingi wa mgogoro huu ni nini?
Upende usipende , ni maslahi binafsi.
Maslahi binafsi yakiwa kipaumbele moyoni, hakuna kujishusha na kunyenyekea waumini.

Jana mama Samia katupa dongo, nalo ita kuwa ni majungu.
MIGOGORO KANISANI NI AIBU KUBWA, watu hawamuogopi Mungu na kujishusha!
Hayo si majungu ndugu yangu , na Askofu analitia aibu Kanisa.
Tuliopo DSM tunakumbuka ya Askofu Ngwamba.
Historia inajirudia.
View attachment 1956855

Ngwamba yuko marekani alikotokea anaendelea kubeba boksi !! Mnadanganywa na hizo degree mnafikiria ndio UPAKO ? Hakuna kitu kama hicho mkitaka kujua askofu wenye UPAKO nendeni mkajifunze Zanzibar kwa Askofu JOHN RAMDHANI!!!
 
Back
Top Bottom