Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
- Thread starter
-
- #21
Hajawahi kuhudumu Central Tanganyika isipokuwa aliwahi kuwa askofu mkuu wa Tanzania na kwa sababu makao makuu ya kanisa yako Dodoma pengine ndio maana uliwahi kumsikiaKuna miaka ya nyuma tulikuwa tunamsikia RTD ni kama alikuwa Dodoma kama sijakosea alihudumu Dayosisi ya Central Tanganyika
Kwann iwe moja kwa mojaPeponi moja kwa moja huyo
🙏Hajawahi kuhudumu Central Tanganyika isipokuwa aliwahi kuwa askofu mkuu wa Tanzania na kwa sababu makao makuu ya kanisa yako Dodoma pengine ndio maana uliwahi kumsikia
Kumbuka wahuni nao wanamsemo "wao wahuni wote peponi" ila umilki ya moto na pepo ni Mwenyezi Mungu pekee na yeye ndiye mwenye kujua hatima ya kila mmoja wetu.Peponi moja kwa moja huyo
Labda mbingu ya kuchora.Peponi moja kwa moja huyo
Mkuu mbona kama umekasirika sana ulivyosikia binadamu mwenzako anaenda peponiLabda mbingu ya kuchora.
Hiv mnadhani mbingu watu wanajiendea tu kisa alikuwa na cheo fulan cha dini?
Hiyo mbingu ya namna gani? Labda mbingu ya Kutengenezwa.
Mtu akifa hakuna cha mbingu wala motoni, ni kulala mpaka siku ya hukumu, hakuna jehanam ya moto wala hakuna mbingu acheni udalali wa imani.
Kila mtu atahukumiwa siku moja ambayo wote tutakusanyika pamoja, na hakuna cheo wala passport ya kuingilia mbinguni eti kisa ulkuwa mtu wa dini ama uongozi.
Mbingu za kweli haziyatambui madhehebu wals nyazifa za kidini zilizotungwa na wana dini.
Amkeni jamani
Atazikwa kesho. Misa itafanyika kanisa kuu Anglikana mkunazini ZanzibarAskofu
John ramadhani
Apumzike kwa Amani. AminaHabari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia.
Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani.
Bishop Ramadhani atakumbukwa kwa harakati zake za kuueneza ukristo na kuitetea imani ya Kikristo visiwani Zanziar.
Mungu ampumzishe kwa amaniView attachment 2354918View attachment 2354919View attachment 2355294