Labda mbingu ya kuchora.
Hiv mnadhani mbingu watu wanajiendea tu kisa alikuwa na cheo fulan cha dini?
Hiyo mbingu ya namna gani? Labda mbingu ya Kutengenezwa.
Mtu akifa hakuna cha mbingu wala motoni, ni kulala mpaka siku ya hukumu, hakuna jehanam ya moto wala hakuna mbingu acheni udalali wa imani.
Kila mtu atahukumiwa siku moja ambayo wote tutakusanyika pamoja, na hakuna cheo wala passport ya kuingilia mbinguni eti kisa ulkuwa mtu wa dini ama uongozi.
Mbingu za kweli haziyatambui madhehebu wals nyazifa za kidini zilizotungwa na wana dini.
Amkeni jamani