TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

Kuna miaka ya nyuma tulikuwa tunamsikia RTD ni kama alikuwa Dodoma kama sijakosea alihudumu Dayosisi ya Central Tanganyika
Hajawahi kuhudumu Central Tanganyika isipokuwa aliwahi kuwa askofu mkuu wa Tanzania na kwa sababu makao makuu ya kanisa yako Dodoma pengine ndio maana uliwahi kumsikia
 
🙏
 
Peponi moja kwa moja huyo
Labda mbingu ya kuchora.

Hiv mnadhani mbingu watu wanajiendea tu kisa alikuwa na cheo fulan cha dini?

Hiyo mbingu ya namna gani? Labda mbingu ya Kutengenezwa.

Mtu akifa hakuna cha mbingu wala motoni, ni kulala mpaka siku ya hukumu, hakuna jehanam ya moto wala hakuna mbingu acheni udalali wa imani.

Kila mtu atahukumiwa siku moja ambayo wote tutakusanyika pamoja, na hakuna cheo wala passport ya kuingilia mbinguni eti kisa ulkuwa mtu wa dini ama uongozi.

Mbingu za kweli haziyatambui madhehebu wals nyazifa za kidini zilizotungwa na wana dini.

Amkeni jamani
 
Mkuu mbona kama umekasirika sana ulivyosikia binadamu mwenzako anaenda peponi
 
R.I.P Askofu, Mwendo Umemaliza. [emoji120][emoji120]
 
Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia.

Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani.

Bishop Ramadhani atakumbukwa kwa harakati zake za kuueneza ukristo na kuitetea imani ya Kikristo visiwani Zanziar.

Mungu ampumzishe kwa amaniView attachment 2354918View attachment 2354919View attachment 2355294
Apumzike kwa Amani. Amina
 
Back
Top Bottom