Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana
Chezea awamu ya tano sadaka siku hizi hamna...waliokuwa wanatoa Mwekundu kama sadaka siku hizi wanatoa mia tano arafu jamaa alivyo na mkosi ile kashfa ya ngono iliyoibuliwa na Bashite ikammaliza...waumini kila wakifikiria ile video ya ngono na ufuska wa mtume wao hawaendi tena kanisani
 
Aiseee!!!
 
Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana
"Baba Askofu"? msinitie majaribuni jamani! Hilo jina lina heshima yake kubwa ndani ya nyumba ya Mungu, labda mseme anayejiita " baba askofu" maana sio kwa matendo haya tunayoyaona!
 
Back
Top Bottom