Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
HahahaKweli nimetambu mtu akiwa mwanuaume alfu Anatabia za kike ni tatizo sana Kwan kondoo si kama wanyama wengine wamewekwa kuliwa tu na wewe tafuta mbuzi ule au umekatazwa
Mtu ambaye juzi aliwapangisha foleni waumini wake ili watolewe mapepo , leo foleni anapanga yeye ! hili ni jaribu kubwa sana
Mungu anakuona aiseeeeChezea awamu ya tano sadaka siku hizi hamna...waliokuwa wanatoa Mwekundu kama sadaka siku hizi wanatoa mia tano arafu jamaa alivyo na mkosi ile kashfa ya ngono iliyoibuliwa na Bashite ikammaliza...waumini kila wakifikiria ile video ya ngono na ufuska wa mtume wao hawaendi tena kanisani
Mtu mzima ovyo ujui au ufahamu kuwa mcheza kwao utunzwa..nampongeza Gwajima maana kama angelikuwa wewe dada zako wasingelipona kwa akili ulizo nazo ndogo za kulalia.Hahaha
Mfugaji hula mifugo yake au sio dada [emoji23][emoji23][emoji23]
Eboo [emoji849] unasema [emoji23][emoji23][emoji23]Mtu mzima ovyo ujui au ufahamu kuwa mcheza kwao utunzwa..nampongeza Gwajima maana kama angelikuwa wewe dada zako wasingelipona kwa akili ulizo nazo ndogo za kulalia.
Daa kweli akili hauna ndo maana waenga wanasema akili ni nywele ,kweli nimeamini wewe uliota kipara toka utotoni nakuona wewe bikira wa kiume toka utotoni ufanyagi mambo hayo . Lkn kwetu wanaume wa ukweli mbona tunafanyaga sana kujionesha kuwa tupo sawa.Eboo [emoji849] unasema [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1508042
Sawa umeshinda dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa kweli akili hauna ndo maana waenga wanasema akili ni nywele ,kweli nimeamini wewe uliota kipara toka utotoni nakuona wewe bikira wa kiume toka utotoni ufanyagi mambo hayo . Lkn kwetu wanaume wa ukweli mbona tunafanyaga sana kujionesha kuwa tupo sawa.
Daa hongera sana maana nafurahia sana ninapo hona Kijana mwenzangu anaejua kutumia vizuri rasilimari zake vizuri ,kuliko wewe unae mezea mate picha. Shikamoo Gwajima boy safi sana una dada yako akuchezeshee ....hicho wenye akili ndo wachompendea kwa sababu hakuna ambae apendi mambo ayo bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa umeshinda dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1508043
Hahaha hatimaye nimekufurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa hongera sana maana nafurahia sana ninapo hona Kijana mwenzangu anaejua kutumia vizuri rasilimari zake vizuri ,kuliko wewe unae mezea mate picha. Shikamoo Gwajima boy safi sana una dada yako akuchezeshee ....hicho wenye akili ndo wachompendea kwa sababu hakuna ambae apendi mambo ayo bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakucheka wewe mwanaume unaye shadadia mambo haya wakati tunafanyaga wote kwa siri wakati ni halali yetu kufanya .kweli gwajiboy ni mtu jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya mambo yote hazarani bila kuficha .solute gwaji wewe ni mwanaume wa kweli.Hahaha hatimaye nimekufurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila si umefurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakucheka wewe mwanaume unaye shadadia mambo haya wakati tunafanyaga wote kwa siri wakati ni halali yetu kufanya .kweli gwajiboy ni mtu jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya mambo yote hazarani bila kuficha .solute gwaji wewe ni mwanaume wa kweli.
Shikamoo Gwajima umewatia Ugoro puani nawaona machafia Kibao kila saa,,,nilikuwa simuelewagi gwaji boy lkn kwa hili shikamoo tena na tena. Like apo twende pamoja.Ila si umefurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kijana kesho ukuje na mkeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shikamoo Gwajima umewatia Ugoro puani nawaona machafia Kibao kila saa,,,nilikuwa simuelewagi gwaji boy lkn kwa hili shikamoo tena na tena. Like apo twende pamoja.
Unalala mpema ivyo kama kuku acha hizo huo ni utovu wa nizamu nakuja ucku huu kutwa roho yako..naona inatufaa uku tulipo kilingeni.Asante kijana kesho ukujeView attachment 1508048
Sijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Askofu Gwajima atunukiwa PhD (Doctor of Philosophy)
Sio kweli soma vizuri Biblia ndgu yngu, ukusoma hbr za Daniel alikuwa waziri mkuu huku akimtumikia Bwana.Sijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.
Tatizo hujasoma Biblia hivyo si kosa lako boySijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.
Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.Sio kweli soma vizuri Biblia ndgu yngu, ukusoma hbr za Daniel alikuwa waziri mkuu huku akimtumikia Bwana.
Hujui bana, acha kuigaTatizo hujasoma Biblia hivyo si kosa lako boy