Mtuyabantu
Member
- Jul 12, 2020
- 33
- 8
Nimekuwekea Daniel kama mmoja wapo lkn biblia imejaa siasa au ujui maana ya siasa ndgu yetu.Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.
Nimekuuliza wapo wengine?Nimekuwekea Daniel kama mmoja wapo lkn biblia imejaa siasa au ujui maana ya siasa ndgu yetu.
Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.
Yusufu hakuwa kuhaniMfumo wa Mungu kuwaweka watumishi katika ngazi za uongozi si kama za wanadamu.
Mwanzo 41:38-40
38 Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake?
39 Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
40 Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
Mungu huyo huyo, anasema njia zake si njia zetu na akili zake azichunguziki..kwa hiyo ukitaka elimu yako ya kitanzani kwa hbr ya mambo ya Mungu utaumia Muache gwajiboy awatumikie watu wa kawe.Mfumo wa Mungu kuwaweka watumishi katika ngazi za uongozi si kama za wanadamu.
Mwanzo 41:38-40
38 Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake?
39 Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
40 Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
Mpaka uwe unaijua biblia vizuri ndio utaelewa vizuri haya mambo.Yusufu hakuwa kuhani
Hivi unawafahamu makuhani?
Mimi nimeandika kuhusu kuhani hata huyo Daniel hakuwa kuhani.
Wapo wengine? tumalizane haraka
Lete jina la kuhani tumdiscuss hapa.Mpaka uwe unaijua biblia vizuri ndio utaelewa vizuri haya mambo.
Agano jipya Mungu amenunua wanadamu wa kila lugha,jamaa ili wawe makuhani na wafalme kwa kila amwaminiye kristo
Ufunuo 5:9-10
9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
12 wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka.
Kwahiyo hjaelewa maandiko hapoLete jina la kuhani tumdiscuss hapa.
Mh! hafai hayta kuongoza kijiji huyu mtu. familia tu ni mtihani.Hivyo hivyo utakavyodhani awe mwana chama asiwe mwanachama ndiyo ameisha chukuwa fomu ni wakati wa Gwajima kufanya yake kwenye jimbo la Kawe mbele ya wanawake.
Unashindwa kuweka jina kwasababu jina pekee ulilonalo ni gwajiboy[emoji3][emoji3]Kwahiyo hjaelewa maandiko hapo
Ushauri kwa hao wanaochuja majina kwenye kura za maoni mkikosea kumpitisha mtu asiyeeleweka na asiye na misimamo mjue itakuwa faida ya upinzani kushinda.
Sawa Malaya wa Dodoma umenena vizuri naona unasubiri kwa hamu kweli bunge lianze ukafanye biashara.Akishinda malaya wa dodoma watamkoma
Wewe mwenyewe huna akili nzuri hapo ulipo ndiyo maana umeona maaskofu ni wajinga.Hawa maaskofu wa wajinga tusiwape nafasi. Mtu atakayemchagua huyu nafikiri hatakuwa na akili nzuri.