Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.
Nimekuwekea Daniel kama mmoja wapo lkn biblia imejaa siasa au ujui maana ya siasa ndgu yetu.
 
Nimekuuliza wapo wengine?
Ngoja niweke hapa namna Daniel alivyopatikana. Usisahau kuwa kipindi hicho Israel ilikuwa chini ya mkono wa mfalme Nebukadreza.

3 Mfalme akamwambia Ashpenazi, mkuu wa matowashi wake, awalete baadhi ya wana wa Israeli, wa uzao wa kifalme, na wa uzao wa kiungwana;
4 vijana wasio na mawaa, wazuri wa uso, wajuzi wa hekima, werevu kwa sababu ya maarifa yao, wenye kufahamu elimu, watakaoweza kusimama katika jumba la mfalme.
 
Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.

Mfumo wa Mungu kuwaweka watumishi katika ngazi za uongozi si kama za wanadamu.

Mwanzo 41:38-40
38 Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake?
39 Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
40 Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
 
Yusufu hakuwa kuhani

Hivi unawafahamu makuhani?
Mimi nimeandika kuhusu kuhani hata huyo Daniel hakuwa kuhani.

Wapo wengine? tumalizane haraka
 
Mungu huyo huyo, anasema njia zake si njia zetu na akili zake azichunguziki..kwa hiyo ukitaka elimu yako ya kitanzani kwa hbr ya mambo ya Mungu utaumia Muache gwajiboy awatumikie watu wa kawe.
 
Narudia kusema sijaona kuhani aliyeenda kwenye siasa.
Daniel na Yusufu hawakuwa makuhani.
 
Yusufu hakuwa kuhani

Hivi unawafahamu makuhani?
Mimi nimeandika kuhusu kuhani hata huyo Daniel hakuwa kuhani.

Wapo wengine? tumalizane haraka
Mpaka uwe unaijua biblia vizuri ndio utaelewa vizuri haya mambo.
Agano jipya Mungu amenunua wanadamu wa kila lugha,jamaa ili wawe makuhani na wafalme kwa kila amwaminiye kristo

Ufunuo 5:9-10
9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
12 wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka.
 
Lete jina la kuhani tumdiscuss hapa.
 
Akishinda malaya wa dodoma watamkoma
 
kwenye siasa kila kitu kinawezekana na kinaruhusiwa ila kama mapenzi na vitani

karibu comrade wewe ni jembe popote utakua tayari kusema ukweli..
 
Gwajima anawafaa sana kuwakilisha wananchi wa jimbo la Kawe na Taifa kwa ujumla.

Wananchi wa Kawe naona kama mmepata bahati au upendeleo kumapata Mbunge kama Gwajima.

Huyu ni mfuatiliaji wa mambo, atashirikiana na serikali katika kutatua matatizo na changamoto zinazowakabili kwa muda mrefu.

Wananchi wa Kawe msijemkachezea shilingi chooni.

Muungeni mkono Gwajima hamtajuta kumpa kura zenu.
 
Ushauri kwa hao wanaochuja majina kwenye kura za maoni mkikosea kumpitisha mtu asiyeeleweka na asiye na misimamo mjue itakuwa faida ya upinzani kushinda.
 
Gwajima anawaweka njia panda waumini wake wasio wanachama wa CCM ama chama chochote cha siasa. Viongozi wa dini active hawapaswi kujiingiza live kwenye siasa
 
Ushauri kwa hao wanaochuja majina kwenye kura za maoni mkikosea kumpitisha mtu asiyeeleweka na asiye na misimamo mjue itakuwa faida ya upinzani kushinda.

Off course binafsi huwa nipo after a potential person na siyo chama fulani cha siasa!

Yani namchagua mtu kutokana na uwezo wake wa kushirikiana na serikali katika kuhudumia wananchi na siyo kuangalia katoka chama gani tawala au upinzani.

Isipokuwa kwa sasa hali ilivyo labda upinzani walete mtu mwingine lakini kama ni Halima basi wajue kurudi bungeni kwa kupitia jimbo la Kawe ni majaliwa.
 
Back
Top Bottom