mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Gwajima ana mtani upi?Unajua kawe huwezi kuwadanganya kwa kanga na kofia.Kawe Ni sawa na Ilala au kinondoni Huduma zote zipo.Mdee anawapigania wanakawe kwa Hali na Mali,Gwajima amewahi kumpigania Nani zaidi ya kula kondoo?Wewe umesikia wapi; ukitumia akili yako japo hata kidogo utaelewa kwamba Gwajima anamtaji mkubwa sana wa watu kuliko Mdee
Sent from my HTC Desire 12 using JamiiForums mobile app