Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Wewe umesikia wapi; ukitumia akili yako japo hata kidogo utaelewa kwamba Gwajima anamtaji mkubwa sana wa watu kuliko Mdee

Sent from my HTC Desire 12 using JamiiForums mobile app
Gwajima ana mtani upi?Unajua kawe huwezi kuwadanganya kwa kanga na kofia.Kawe Ni sawa na Ilala au kinondoni Huduma zote zipo.Mdee anawapigania wanakawe kwa Hali na Mali,Gwajima amewahi kumpigania Nani zaidi ya kula kondoo?
 
Amewahi kumtukana Nani?Hebu kuwa hata na Soni,Gwajima ndo wa kuongoza wenye akili zao Kama kawe?Unaijua kawe unaisikia.Unadhani mpaka Mdee anaongoza miaka 10 ndo umtishe na Gwajiboy? Acheni utani Basi na wanakawe.Ccm ikimpitisha Gwaji,CDM ushindi Ni saa5 asubuhi
 
Watu wameanza kuelimika hatowi sadaka hovyo!
[emoji23][emoji23][emoji23] Mungu kila mwanadamu kamuumba na kusudi lake duniani, sasa huyu mpaka hapo tu inaonesha bado hajajua kusudi lake lakuwa duniani japo hapo awali aliwaaminisha ma-porno wake kuwa anawito kwa Mungu. Mtu aliyeitwa na Mungu huwa hatangitangi kwasababu mpaka hapo tayari kishawagawa kondoo wake kwa kujiingiza kwenye siasa.

Kwenye kanisa kuna ccm, chadema, cuf, act n.k
 
2446870_FB_IMG_1593861624421.jpg
 
Ila Tanzania kwa sasa imepatikana.. Kwa taswira ya huyu mtu au japo angekuwa na kautu japo kidogo tu asingekuwa na ujasiri hata wa kutokeza mbele za watu.. Lakini ukiangalia kkuanzia ile kasheshe aliyoizua ya vipeperushi, utagundua sio maamuzi yake peke yake na nadhani hata Makonda kugombea Kigamboni pia sio maamuzi binafsi. Inawezekana kuna chama cha siri
 
Back
Top Bottom