Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ?
Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa politics analysis, hakuna ibada Tena pale, sisi kama waumini wako tunakwazwa na tabia za mchungaji muda wote kuzungumzia siasa! Badala ya neno la Mungu!! Askofu mwanamapinduzi kazi yake ni kupandikiza chuki kati ya waumini na serikali!
Kama sio wewe umemtuma tunaomba umuondoe Kibaha arudi kwako makao makuu, hapa Kibaha hatumuhitaji. Kanisa zuri lakini linazidi kupukutika kwa sababu ya masiasa ya mchungaji!! Nategemea utalifanyia kazi hili.
Asante