Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

Samia kwa sasa hayuko salama. Bora awe kama Yohana mbatizaji (kutokea hadharani kusiwe kwa mara kwa mara). Leo hii nimeshangaa sana kumsikia mwana ccm kindakindaki akisema "HUYU MAMA HATOBOI kwani amewafanya hata madiwani wachukiwe kwa sababu yake" NB: Kumbe % kubwa ya wana ccm wanangojea anguko lake.
 
Ungeweka na ile video ingependeza
 
Samia hayupo Kwa ajili ya wanaaccm hili wameligundua mapema
 
Hata alindwe na nani haitasaidia
Damu mbaya aisee
 
HAYUPO, AMESHAKUFA HUYO...!!

SHANGILIENI ENYI NCHI NA MBINGU!!🥺🤔😎🙌🏿🏃🏿
 
Unaandika maneno ambayo mtu asipoyapima anaweza kukuona kama ni mzee wa busara lakini kumbe sivyo.

Hao vijana unaowahimiza amani, hujiulizi ni kwanini wamejaa chuki zilizopelekea mripuko?

Au ndiyo utajibu kwamba: ' 'mabeberu wanatuonea gere kwa ajili ya utajiri wa rasilimali zetu'!

Sijaona popote ukiwanasihi viongozi wa Serikali ya awamu ya 6 wanaofanya mpaka sasa matendo mabaya kabisa ya uvunjaji wa haki za binadamu na kusababisha chuki hizi!

Unaposhauri jambo lolote ili lifikie muafaka wenye kuheshimika, usiwe bias.

Watu wote wagombanapo na wewe ukawakalisha chini kuwaamua elewa wana akili zao timamu.

Kuanza kuuma na kupulizia kwa kuona wengine ni wajinga ni ujuha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…