Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
😅😅Bongo ni kiwanda cha uzushi. Unaweza kuwa upo unakunywa chai, huko social media unatajwa umekufa
😅😅Bongo ni kiwanda cha uzushi. Unaweza kuwa upo unakunywa chai, huko social media unatajwa umekufa
Ila kuna habari unatamani tu iwe kweliBongo ni kiwanda cha uzushi. Unaweza kuwa upo unakunywa chai, huko social media unatajwa umekufa
Nyie manabii uchwara Mmetudanganya miez yote 11 sasa yatosha mwezi uliobaki tupe muda tutafakari namna ya kuanza mwaka mpya kwa kishindo
View: https://youtu.be/P2J6CDM8J_8?si=OtcreXesmAKQrcJ5
Hayaji kwa muda na wakati na majira uyatakayo. Bwana wetu ana njia zake na namna yake ya kutenda jambo. Kwake siku 1 ni kama miaka 1000 na miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1. Yeye huwa hachelewi na wala huwa hawahi. Yuko very systematic and constant!
Absolutely, correct 💯Hizi mithali ni shida
Lakini itabidi watu tujifunze zaidi na kukubaliana na ukweli
Mtu unapoacha kupendwa na wanyumbani mwako kwa asilimia zaidi ya 90 na wale wasio wa nyumbani mwako kwa zaidi ya asilimia hiyohiyo, ujuwe unamaisha magumu sana duniani
Kifo ni lazima kwa mtu akiitatayeTunajua kifo n lazima kwa kila mwanadamu ila ninyi mmezidi mnataka kujifanya last born wa Mungu kwamba mna Hadi ratiba zake
Tafuteni hela fanyeni kazi
Kwakweli mtu anamiliki death spiritHaibadirishi kuwa ameenda na maji.. Kuna ile mtu ashajifia zamani ila inatafutwa sababu aguswe mtu apewe msalaa.. ( mtu anamilikiwa na roho ya mauti ) si kaisha kufa huyo 😁😁
Najua,Yes ni kweli yupo hai.Anapenda attention sana na surprises
Unachosema ni kweli, huku mtaani hawana ujasiri kabisa, wanatembea kinyonge.Samia kwa sasa hayuko salama. Bora awe kama Yohana mbatizaji (kutokea hadharani kusiwe kwa mara kwa mara). Leo hii nimeshangaa sana kumsikia mwana ccm kindakindaki akisema "HUYU MAMA HATOBOI kwani amewafanya hata madiwani wachukiwe kwa sababu yake" NB: Kumbe % kubwa ya wana ccm wanangojea anguko lake.
Kifo ni lazima kwa mtu akiitataye
Na bila shaka ni lazima kwako na kwa Samia
Mimi sifi kwa huo "ulazima" unaousema. Kufa wewe na wenzako
Pesa ni kwa ajili ya maisha haya. Pesa si hakikisho la uhai na uzima wako
Samia wako ana kontena na makontena ya pesa. Yamezuia kifo chake?
La hasha!
Kwa sababu kwa matendo yake, aliamua mwenyewe kukiita kimchukue
Kwa heria Mama Samia
View: https://youtube.com/shorts/1DWKgScd-ew?si=YrVNnQnDIkjKF8za
hakuna atakaezikwa na nyumba zake wala cret za mvinyo. Umaskini ni nini?Umaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
Ile picha ni ya mda sana mkuu, waliipost kwa kuludia tu.Juzi si tumemwona akiwa na naibu balozi wa marekani pale ikulu ya chamwino?
Mama yupo salama. Sema hana furaha. Tangu ile 29.10 hana raha kabisa.
Sasa mnafanya harakati za kuhamasisha vurugu ili mpate nini?hakuna atakaezikwa na nyumba zake wala cret za mvinyo. Umaskini ni nini?
Mapinduzi kufeli? Tujipe mudaWajinga waoga wanafarijiana baada ya mapinduzi kufeli ,yaani wanaume na kende zenu mbili mnapiga majungu .
Sisi pia tunaomba Gwajima ,CHADEMA na TEC wote wafe...Mfeli vibaya mambwa nyie ,mmeuliwa kama mambwa ... Rudieni tena tena wale TEC wakae mbele tunawatamani sana.Mapinduzi kufeli? Tujipe muda
Magaidi sehemu yao ni kuzimu. Muda utaongea kuanzia kubwa la magaidi mpaka nyie mbwaSisi pia tunaomba Gwajima ,CHADEMA na TEC wote wafe...Mfeli vibaya mambwa nyie ,mmeuliwa kama mambwa ... Rudieni tena tena wale TEC wakae mbele tunawatamani sana.
Oktoba 29 to Nov watu wameuawa kiwepesi sanaMnadhani kifo ni kama kubonyeza kitokee kwa wepesi kiasi hiko?