G
guest-1790917349
Guest
😄😄😄Mhm mkuu naona ni false hope
Isije kuwa ile kama msoga akarudi akatuchamba🤣🤣🤣
Sawa tusubiri kesho nimesikia ana press ya kushukuru wazee kuwakanya watt wao wasitoke ta 9
😄😄😄Mhm mkuu naona ni false hope
Isije kuwa ile kama msoga akarudi akatuchamba🤣🤣🤣
InaumaNa iwe hivyo mnavyosema.
Damu ya watanganyika wenzetu iliyomwagika 29/10/2025 imeniumiza sana.
Kesho ndo utajua akitoa press yakeYoga ndo anajua leo kizimkazi kanywa kinywaji gani na anasagana na nani
Hivyo siyo wa kumpuuza
Hiyo niwekeee tu ili nipate mbuzi na grand MaltaUngekuwa around, ungekuja kupata kitu roho inapendaa.. 😁😁
Haibadirishi kuwa ameenda na maji.. Kuna ile mtu ashajifia zamani ila inatafutwa sababu aguswe mtu apewe msalaa.. ( mtu anamilikiwa na roho ya mauti ) si kaisha kufa huyo 😁😁Hiyo niwekeee tu ili nipate mbuzi na grand Malta
Kesho ndo nitajua chanzo changu km ni fake au sio fake
Maana kuna tetesi kuwa kuna press atafanya kuwashukuru wazazi
Acha tusubiri
"Teeth" wapo kazini na Spinning.Hii habari inashika sana kasi
Utabiri wa Askofu Gwajima umetimia
Mfalme wa taifa lako ni nani?
Basi, Mfalme Uzia asipokufa kwanza, Tanzania haitoboi
Wewe kapike nyanya zako, ule ushibe na kushangilia
View: https://youtu.be/feAxAg3mVOc?si=Grr6dUOcFGFMIIBHhttps://youtu.be/P2J6CDM8J_8?si=aFlU283p7E2Njx0-https://youtu.be/cJqp4ybSGJo?si=vd4qPXx5kzrw24FOhttps://youtu.be/Hk-_k3Nn8H4?si=1EDyYwi4SgztoJZ3
Roho mbaya hazijengi ndo maana tumeendelea kuishi kama nyani misituni. Ni kwa sababu ya watu wenye roho mbaya kama wewe. Nyie ndo mnaroga wenzenu kisa wamenunua gari.
sidhan kama Kuna mtu hana roho mbaya mkuu, sema utegemea mazingiraUmaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
Amenasa kwenye 18 za wahuni... Furaha atakuwaje nayo? Ni wakumuonea huruma tu.Juzi si tumemwona akiwa na naibu balozi wa marekani pale ikulu ya chamwino?
Mama yupo salama. Sema hana furaha. Tangu ile 29.10 hana raha kabisa.
Jasusi la mbinguni hilo , mnao mnenea mabaya yatawarudia , hivi mwafikiri Gwajima ni mtu wa kawaida , uyu kuanzia kikwete yupo , Mwenda zake akaona isiwe tabu akamsogeza karibu.Isa 6:1-3 SUV
".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake..."
HAYUPO, AMESHAKUFA HUYO...!!
SHANGILIENI ENYI NCHI NA MBINGU!!
Yes ni kweli yupo hai.Anapenda attention sana na surprisesHiyo niwekeee tu ili nipate mbuzi na grand Malta
Kesho ndo nitajua chanzo changu km ni fake au sio fake
Maana kuna tetesi kuwa kuna press atafanya kuwashukuru wazazi
Acha tusubiri
Sisi weusi ni hatari zaidi. Na bahati mbaya roho mbaya yetu ni ya hovyosidhan kama Kuna mtu hana roho mbaya mkuu, sema utegemea mazingira
Mnatumia ukristo kama kichaka cha roho zenu mbaya na uchawi.i am Christian hivyo mambo ya kurogana siyatambui wala siyaamini ...
Juzi si tumemwona akiwa na naibu balozi wa marekani pale ikulu ya chamwino?
Mama yupo salama. Sema hana furaha. Tangu ile 29.10 hana raha kabisa.
Roho mbaya kwa kiranja wa kikosi cha watekaji, wafiraji na wauaji?Umaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
Bongo ni kiwanda cha uzushi. Unaweza kuwa upo unakunywa chai, huko social media unatajwa umekufaKuna mtu anasema moja wa wanajeshi waliokuwa wanazuia watu wasiandamane alisema "kwanza huyo mtu mnayempinga kwa sasa hayupo". Ngoja tuone, muda utajibu