Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

Tumechoka kutawaliwa kwa shuruti na viongozi tusiowataka. Iweje upore uchaguzi kisha ufanye mauaji kiasi hicho kisha upate umoja?
 
Hii michezo ukishaanza kuiona inaanza jua kunamazingira wanayanda huku nje.
Ila kama inafikia watu wanafurahia umauti wa mtu ujue kuna namna.

Enewei Dunia sio Eneo la kudumu.
Ndugu, si tulishakubaliana kuwa kifo ni kifo tu au umesahau?!
Majuzi tu watu maelfu wameuawa kikatili na hakuna hata maombolezo, unategemea bado kuna utu Bongo?!
 
Unesema sahihi kuwa nchi yetu inahitaji umoja....unadhani bila watu wetu kutendewa HAKI huo umoja utawezekana?!
Raia wakiridhika kuwa kuna HAKI hakuna kitakachoondoa amani wala umoja kati yetu. Lakini bila HAKI hata tuimbe vipi hayo mengine tutakuwa tunajidanganya tu
 
1. Chanzo cha taarifa ya kifo ni ipi hasa?

2. Kaumwa na ugonjwa gani?

3. Kafariki lini?

4.Kafia hospitali ipi?

Ingawa ni shauku ya moyo wangu aondoke kwenye kiti kile.
 
Mpaka magaidi yapelekwe mahakamani. The beast in you terrorists
 
Mi naamini Samuya ni mzima kabisa, siku ambayo hamna anayetegemea na pengine maumivu ya watu yamepungua basi ndo anaanguka,,, kwasasa yupo kwnye high alert 🚨, kajizatiti kiulinzi na kujificha uku akitoka kwa nadra ndo itakuwa style yake…siku mambo yamepoa kidogo, ndo ataanza kujiachia, kwasasa yupo tu kwakujilinda.
 
Nadhani hamwamini mtu yoyote sasa

Bila shaka anapikiwa na watoto zake tu.

Lakin kayataka yote yeye. Angetulia zake kama Majaliwa akasimamia mchakato wa Rais kama alivyoshauri polepole. Angestaafu zake kwa heshima na hata angepewa ukuu wa chuo labda UDOM, akapumzika zake kwa furaha.

Sasa watu 60 million wanamuombea kifo, wengine wanamchukia kuliko Maelezo. Tena hayo malockdown ndo wameongeza maadui kibao
 
Amani iendane na matendo ya hali.
 
Hawajui CCM wew.wale ni wanafiki pro max.
Niliwagundua Magu alipofariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…