Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

Hiyo niwekeee tu ili nipate mbuzi na grand Malta

Kesho ndo nitajua chanzo changu km ni fake au sio fake
Maana kuna tetesi kuwa kuna press atafanya kuwashukuru wazazi
Acha tusubiri
Haibadirishi kuwa ameenda na maji.. Kuna ile mtu ashajifia zamani ila inatafutwa sababu aguswe mtu apewe msalaa.. ( mtu anamilikiwa na roho ya mauti ) si kaisha kufa huyo 😁😁
 
Kuna mtu anasema moja wa wanajeshi waliokuwa wanazuia watu wasiandamane alisema "kwanza huyo mtu mnayempinga kwa sasa hayupo". Ngoja tuone, muda utajibu
 
Mnamtabiria kufa kila siku lakini bado anapumua huku nyinyi mkiwa mnaishi kwenye maficho.

Manabii feki
 
Jasusi la mbinguni hilo , mnao mnenea mabaya yatawarudia , hivi mwafikiri Gwajima ni mtu wa kawaida , uyu kuanzia kikwete yupo , Mwenda zake akaona isiwe tabu akamsogeza karibu.

Kwa mara ya kwanza tunamuona mtumishi wa Bwana ambae anaazisha injili tz na kuipeleka mbali kimataifa , badala ya kumkumbatia mtu kama uyu ,mnambagaza , kitawalamba asema Bwana .

Waulize wachungaji uchwara ,mfano Mwamposa ni kipi wamewatendea watz nje ya kula sadaka zao kupitia sijui mafuta ya upako , takataka kabisa.

Gwajima sina historia kwake ya kuuza upumbavu kwa waumini wake .

Nasema hili kama mwana wa Mungu alie hai , mie sio mchungaji , sina kanisa ,ila Bwana ameamua nitumia tu nami Nashukuru. Ufalume wa Mungu kwanza mengine badae.
 
Kuna mtu anasema moja wa wanajeshi waliokuwa wanazuia watu wasiandamane alisema "kwanza huyo mtu mnayempinga kwa sasa hayupo". Ngoja tuone, muda utajibu
Bongo ni kiwanda cha uzushi. Unaweza kuwa upo unakunywa chai, huko social media unatajwa umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…