SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wale manyani waliojifungia kule mjengoni Dodoma wakitafuna kodi zetu wangeugua ebola ningeshangilia sana, hawana faida yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...tukiona mtu anasingizia dini kukwepa kuambiwa ukweli kama wewe tunapaswa tukutenge kama mgonjwa wa ukoma...
Kakobe mhuni kama wahuni wengine tu ulishaona wapi mtumishi wa mungu mpaka apige lamli ndiyo aendeshe ibada huyu mtumishi wa mungu au wa shetani?Kakobe anaongea kama kiongozi mwingine yeyote,wanamjua hajui kuficha yeye yupo pale kunena ukweli yule sio mwanasiasa.
Huyu mganga wa kienyeji naye anyamaze tu asitusumbue kabisa na madawa yake ya jadi.
Huyu mganga wa kienyeji naye anyamaze tu asitusumbue kabisa na madawa yake ya jadi.
Wala siyo askofu mganga wa jadi tu kama waganga wengine.Kakobe ni askofu kanjanja.
Nenda nyumbani kwa kakobe kama hujakuta matunguru kibao waulize waliowahi kuingia ofisini kwake na nyumbani kwake akiwemo mke waliochana naye.Mganga wa kienyeji wa madawa ya jadi, ni Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM, ambaye yuko katika Bunge hilo la wahuni kuwawakilisha waganga wote wa kienyeji wa madawa ya jadi.
Wala siyo askofu mganga wa jadi tu kama waganga wengine.
Kakobe mhuni kama wahuni wengine tu ulishaona wapi mtumishi wa mungu mpaka apige lamli ndiyo aendeshe ibada huyu mtumishi wa mungu au wa shetani?
Sitakaaa nimuamin huyu mchungaj kwan n mchonganishi sana na n mtu wa kuwagawa wananch ,ukiona mtu anatumia mwanvuli wa dini kuingia kwnye mambo ya siasa muogope kama ukoma kama sio kumpuuza
Mganga wa kienyeji mamako
We nani anakuamini mwenyewe hata mmeo hakuamini,ungesoma kwanza ndio ulete upuuzi wako huu..m..b..w..e..h..a
Nenda nyumbani kwa kakobe kama hujakuta matunguru kibao waulize waliowahi kuingia ofisini kwake na nyumbani kwake akiwemo mke waliochana naye.
Nitakukumbuka katika maombi wiki hii, ili uachane na mawazo ya kishetani
Kumuamini kwako hakupunguzi chochote lakini mwisho wa yote ni kwamba kinachoendelea Bunge la Katiba ni uhuni uliopindukia.