bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 871
Sitakaaa nimuamin huyu mchungaj kwan n mchonganishi sana na n mtu wa kuwagawa wananch ,ukiona mtu anatumia mwanvuli wa dini kuingia kwnye mambo ya siasa muogope kama ukoma kama sio kumpuuza
Sitakaaa nimuamin huyu mchungaj kwan n mchonganishi sana na n mtu wa kuwagawa wananch ,ukiona mtu anatumia mwanvuli wa dini kuingia kwnye mambo ya siasa muogope kama ukoma kama sio kumpuuza
Inabidi atoe mwongozo kwa waumin na si kuwagawa sabab kuna watu wa itikadi mbalimbali kivyama na wasio na makundi ya vyama katika kanisa lake
Hapana, atengwe kama mgonjwa wa EBOLA...tukiona mtu anasingizia dini kukwepa kuambiwa ukweli kama wewe tunapaswa tukutenge kama mgonjwa wa ukoma...
unashangaa nini wakati watu wanakushangaa wewe unayelilia serikali tatu!