Askofu Kakobe: Kinachoendelea katika Bunge la Katiba ni uhuni

Askofu Kakobe: Kinachoendelea katika Bunge la Katiba ni uhuni

Sitakaaa nimuamin huyu mchungaj kwan n mchonganishi sana na n mtu wa kuwagawa wananch ,ukiona mtu anatumia mwanvuli wa dini kuingia kwnye mambo ya siasa muogope kama ukoma kama sio kumpuuza

Umetumwa wewe,inaonekana baba yako au mama yako yuko bungeni anaendelea kujadili utumbo.
 
Muda wa kuburuzwa na ccm umekwisha watanzania tusimame kudai kweli yetu!! Uhuni wa sita ukomeshwe! Say No to katiba feki
 
Sitakaaa nimuamin huyu mchungaj kwan n mchonganishi sana na n mtu wa kuwagawa wananch ,ukiona mtu anatumia mwanvuli wa dini kuingia kwnye mambo ya siasa muogope kama ukoma kama sio kumpuuza

wee kichwa maji, ndo mmekelilishwa hivo? katiba ni siasa? Hujui ndo roho ya nchi, ----- wewe
 
Inabidi atoe mwongozo kwa waumin na si kuwagawa sabab kuna watu wa itikadi mbalimbali kivyama na wasio na makundi ya vyama katika kanisa lake

....tunapozungumzia katiba hatupaswi kuitazama kivyama, hili ndo kosa kubwa wanalifanya ccm na vibaraka wao na ndo chanzo cha kukwamisha mchakato kwaajili ya maslahi yao binafsi. chadema,cuf na nccr wanamisimamo yao kivyama lakini waliamua kuiweka kando na kusimamia maoni ya wananchi yaliyo wasilishwa na tume, jambo hili ccm hawalitaki na wanafanya kila hujuma kulipinga. katiba ni zaidi ya vyama, katiba ni uchumi,afya,haki,elimu,maji,chakula,jeshi,usalam wa taifa,polisi,miundombinu n.k...
 
Akisema Kakobe ni Nongwa; ingawa amesoma tamko la jukwaa la wakristo tu !
Laana inalitesa bunge.
BIG UP BISHOP KAKOBE !
 
Back
Top Bottom