Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Swali zuri.Viongozi wawe wa dini au kisiasa wanao geuza geuza misimamo yao hawafai kuwa viongozi.Mwaka jana 2020 mbona hakuvaa barakoa kwenye mikutano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri.Viongozi wawe wa dini au kisiasa wanao geuza geuza misimamo yao hawafai kuwa viongozi.Mwaka jana 2020 mbona hakuvaa barakoa kwenye mikutano?
Siwezi kuiamini Wizara ya Afya kwa kuwa ndio hao hao walio ruhusu watu wauziwe sigara na pombe huku wakisema ni hatari kwa afya zao!Na siwezi kuwaamini the WHO kwa kuwa ni wabia katika mauaji ya C-19 ambayo ni fully funded by the killers Anthony Fauci na Bill Gates.Siwezi kuiamini pia the WHO kwa kuwa it is almost fully funded by Bill Gates,the killer.Mkuu mimi sio poyoyoyo,labda wewe.
Unajua mkuu,hawa watu wanawafanyia wananchi makususudi.Mimi naweza kusema kwa uhakika kabisa kwamba wameziba macho na masikio ili wasione wala kusikia.Wataachaje kujua madhara ya chanjo ambayo yanahubiriwa na madaktari nguli duniani kote.Hela nyingi zimetembea mkuu.Na tungekuwa na viongozi wenye hofu ya Mungu wasinge egemea upande wowote. Wange sema kweli za faida ya chanjo na hasara zake kwa uwazi kabisa kwa wananchi eote mpaka huko ndsni vijijini. Khalafu ndio wakawapa ile form ya chanjo ya corona kila mmoja kujihukumu mnyewe.
Kwa bahati mbaya tuna waziri wa Afya wa ajabu ssna, Wananchi wasijue madhara ya chanjo masna ni kampeni ya kitaifa.
ila unamuamini gwajima na jpm au sio?Siwezi kuiamini Wizara ya Afya kwa kuwa ndio hao hao walio ruhusu watu wauziwe sigara na pombe huku wakisema ni hatari kwa afya zao!Na siwezi kuwaamini the WHO kwa kuwa ni wabia katika mauaji ya C-19 ambayo ni fully funded by the killers Anthony Fauci na Bill Gates.Siwezi kuiamini pia the WHO kwa kuwa it is almost fully funded by Bill Gates,the killer.Mkuu mimi sio poyoyoyo,labda wewe.
Eti Askofu..yy na Gwajima wananichekesha,,na Mzee wa upako nae Askofu... F**kin lol [emoji1787][emoji1787]
Labda nikutanabahishe "ngebe," na ngebe kweli kweli,kwamba my Soul is fully controlled by God and so my mind likewise.Wewe on the other hand your Soul is controlled by Lucifer and hence your mind and body so what comes out of you is of your father Lucifer.So I am not surprized by what you say.ila unamuamini gwajima na jpm au sio?
unaongea usiyoyajua labda ni upeo mdogo wa akili
Labda wale wa kanda pendwa, watahiriwe, Sisi tulimaliza hilo mapema sana!Titahiriwe Kwanza ndipo tuchanjwe
Unawakilisha kundi kubwa sana la wajinga wa nchi hii mnaoamini katika conspiracy theories.Siwezi kuiamini Wizara ya Afya kwa kuwa ndio hao hao walio ruhusu watu wauziwe sigara na pombe huku wakisema ni hatari kwa afya zao!Na siwezi kuwaamini the WHO kwa kuwa ni wabia katika mauaji ya C-19 ambayo ni fully funded by the killers Anthony Fauci na Bill Gates.Siwezi kuiamini pia the WHO kwa kuwa it is almost fully funded by Bill Gates,the killer.Mkuu mimi sio poyoyoyo,labda wewe.
nikikuuliza kwanini unapinga chanjo huna majibuLabda nikutanabahishe "ngebe," na ngebe kweli kweli,kwamba my Soul is fully controlled by God and so my mind likewise.Wewe on the other hand your Soul is controlled by Lucifer and hence your mind and body so what comes out of you is of your father Lucifer.So I am not surprized by what you say.
Chanjo ni kwa ugonjwa wa virusi tuu siyo kila ugonjwa! Magonjwa yote yanayoenezwa na virusi havina tiba, namna pekee ya kuzuia ni kwa chanjo! Malaria haina tiba? Husababishwa na virusiYeye kachanjwa? Kishawahi kuwaambia serikali kuleta chanjo ya malaria? Why chanjo ya corona?[emoji15]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwani Wahaya na Wasukuma wote ni wanawake? Hata yeye amekufa na govi lake
Fuata mada zangu nyingi kwenye link hii👇,utapata jibu.Mimi ni mtaalamu,I talk with facts,sio ngebe tupu kama wewe "ngebe".nikikuuliza kwanini unapinga chanjo huna majibu
Kakobe kaongea upupu mkuu,hakuna hoja.So Gwajiboy aache kiburi!?
Gwajiboy yupo sahihi hoja zake zina nguvu
Hili nalo neno nashangaa hawalisemi, kwa ufahamu wangu chanjo haitibu bali ni kinga, ikiwa umeathirika chanja haifai kituila kupima covid kwanza ndio muhim kabla ya chanjo jaman daaa
naomba unipe mechanism ya chanjo inavyoingia na inavyofanya kazi mwilini! halafu nipe na source ya taarifa yakoFuata mada zangu nyingi kwenye link hii👇,utapata jibu.Mimi ni mtaalamu,I talk with facts,sio ngebe tupu kama wewe "ngebe".
Let me get this straight about the COVID-19 vaccine
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...www.jamiiforums.com
Gwaji boy mjuaji tu hamna kitu, Mara leo unamkuta CDM, baada ya muda CCM, mara leo anakataa ubunge, baada ya muda anagombea! Ni kinyonga na tapeli! Anawakamata wajinga wajinga kwenye mabati yake yaleSo Gwajiboy aache kiburi!?
Gwajiboy yupo sahihi hoja zake zina nguvu
Jamaa hajui kitu huyu mkuu, yeye kamezeshwa stories za akina Nuhu kazibeba nzima nzimanaomba unipe mechanism ya chanjo inavyoingia na inavyofanya kazi mwilini! halafu nipe na source ya taarifa yako
Mwanangu kachanjwe, acha ujingaKakobe kaongea upupu mkuu,hakuna hoja.
Unawaambie watu wakanjwe bila kutoa ushahidi wowote kwamba hizo chanjo ni safe!Very stupid of him indeed.
Kwa nini?