Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Achana na hizi siasa nyepesi,
Endeleza kwanza familia na ukoo wako, achana na propaganda mfu si lazima tuendelee kwa kuigawa Bandari, kama tumeshindwa kuendelea kwa fursa zote hizo tutaendelea kwa kuuza bandari?
 
Huyu ni Kakobe yule yule wa enzi za jiwe au ni mwingine?
 
Just incase you live under the cage....👇

Swali.
Tanganyika ikarudi, nini tutapata
Mi sijui ntanufaika vp but ninachojua ni kuwa yanipasa kuilinda na kuitetea nchi yangu ni ngali kijana ili next generation nao waikute iko salama!
Bring back our Tanganyika.
 
Nimemuelewa sana askofu,ni wakati sasa mapadre na viongozi wa madhehebu mengine wazinduke kwenye usingizi mzito sana waliolala wa TANZANIA
 
Anapaswa ajitazame upya kwa tamaa zake za kuuza mali za Tanganyika kwa waarabu wenzake.
Rais SSH amejijengea mazingira haya kwasababu ya kuwa 'Rais wa JMT anayetazama masilahi ya Zanzibar' na si Rais wa JMT anayesimamia muungano. Yaani ni kama ana hasira na ameamua kuwakomesha Watanganyika

Jambo hilo limekuwa linauma Watanganyika lakini hawakuwa na pa kuanzia. Hili la Bandari ndilo limefungua 'pnadora' Box na sasa hali ni mbaya kwakwe. Ujanja wa kutengeneza mazingira ya kuweka viraka katiba umekufa.
Watanganyika waliobeba muungano sasa wameliamsha, ni ima Tanganyika irudi au tuvunje jahazi kama kuna vimbao vimebaki Wapewe Wazanzibar. Vimbao kwasababu hawana mchango wowote na wamevuna sana.
 
Leo ndio mmeyaona hayo baada ya kutunyonya na kutupitezea utaifa wetu mkatugeuza wilaya tukapiga kelele tokea wakati wa karume mpaka sasa ikafikia hadi mkamuondosha rais aliyechaguliwa kihalali na wazanzibari kwa kuhoji muungano na mpaka leo mnatuletea watu mnaotaka nyinyi watutawale cc wazanzibari wala hatujutii kwani mmeturudisha sana nyuma tungekuwa mbali sana kama c muungano huu usiofahamika.
 
Hv hizo nchi ambazo dp world inafanya kazi imeshawapeleka waarabu laki ngapi kutawala?!!! Watu wakisema mna udini mbaya sana katika suala hili mnabisha nini?!!!
Bila shaka mmechoka na amani na kipo mnachokitaka kutoka kwa jamii ya kiislamu ya rz isiyo na shida na mtu......haina noma. Baasa ya tanganyika tutagawana tena; huo mgao dar haitowahusu!
 
Ushauri, kwakuwa mmeshaeleweka sasa unafiki wenu basi semeni tu wazi 'jambo hili linatukera baadhi ya sisi wakristo wajinga', mkisema hivyo mtaeleweka na mtajiweka mbali na unafiki. Wala hamna haja ya kujifichaficha kwenye mkaranga na kujifanya kutaja watanganyika kama vile sote ni wajinga!
 
tpaul hii video kama sikosei ni ya zamani sana kati ya 2017 au 2018
 
Rais Samia kwa hilo ninao uhakika atalijutia sana na limewafanya Wananchi wawe na mashaka naye!

Anao mda, ajisahihishe kwa maana kukosea kupo.
Ibilisi siku zote hutumia udhaifu wa wanawake wenye "influence" ili kuleta maangamizi. Historia ni mwalimu mzuri sana katika suala hili.

History is not only the path left by past, but is also paints the foot steps for our future.
 
Kwani Deep State, TISS, JWTZ na polisi wako tayari kutokuibakisha CCM madarakani?
Upi mbadala wa Ccm?
CDM mwenyekiti wake ni usalama wa taifa,
ACT Wazalendo kiongozi wao mkuu ni usalama wa taifa, Shibuda ni usalama wa taifa, aliyekuwa wa TLP alikuwa ni usalama mapandikizi ya Deep state na CCM.
Tanzania hatuna upinzani halisi bali tuna wanachama wapinzani lkn si viongozi wa vyama vingi,
Sijaona chama kwa sasa cha kuweza kuitoa CCM, labda CCM ipasuke vipande viwili hapo ndipo tutapata upinzani halisi.
 
Just incase you live under the cage....[emoji116]

Swali.
Tanganyika ikarudi, nini tutapata zaidi?
Nadhani ni mtu mzima,lakini nina mashaka kama mpaka sasa huwezi kung'amua kwamba muungano unaitia hasara kubwa Tanganyika.
Zaidi ya propaganda za kisiasa Tanganyika kupoteza uwepo wake tayari ni pigo kubwa.
Fikiria watu wasiozidi milioni 2 lakini wakawa na say kuliko watu zaidi ya milioni 60,na bado wanalalamika kupunjwa all kasungura tunakogawana!.
Huu ni muungano wa ajabu kupata kutokea.
Jamaa mmoja aliwahi kusema kwamba Zanzibar karibu kila mtaa kuna mbunge,kuna wawakilishi na wabunge wa muungano ilihali Tanganyika haina mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…