Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:

View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.

Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
 
Attachments

  • IMG_0800.MP4
    27.4 MB
Wewe uko hapa, sikia sasa
Hii agenda ya Bandari metiwa chumvi kwa maslahi ya Wakenya na Bandari yao.
Tanzania ikiwa na Bandari yenye ufanisi mkubwa, ile ya Kenya nakufa kifo cha mende.
Sasa Nadshani Akina Mbowe wanatumiwa kudumaza mpangomzima.
Hivi wanjua kuwa wanai bac- up Kenya?
Watu wanajadili mkataba unaeleta maneno ya kikasuku.
Jibuni hoja kuhusu mkataba, propaganda hazitawasaidia
 
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:

View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.

Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Mh! Nikama asikofu kamaliza hii pati🤣🤣🤣
 
Tunashukuru Mungu kwa kuleta rais dhaifu ili Tanganyika ufufuke haraka
 
Mwenye kufahamu faida za huo Muungano azitaje kwa karne hii ya sayansi na technologia!
Muungano hauna faida yoyote kwa watanzania zaidi ya kuwanaufaisha kisiasa mafisi ya CCM yenye matumbo makubwa kama mapakacha na yasiyojaa kamwe!
1687182933791.jpeg
 
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:

View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.

Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Good muungano fake uvunjwe haraka
 
Back
Top Bottom