Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

alishatatua masuala ya uraia ?
Wewe uko hapa, sikia sasa
Hii agenda ya Bandari metiwa chumvi kwa maslahi ya Wakenya na Bandari yao.
Tanzania ikiwa na Bandari yenye ufanisi mkubwa, ile ya Kenya nakufa kifo cha mende.
Sasa Nadshani Akina Mbowe wanatumiwa kudumaza mpangomzima.
Hivi wanjua kuwa wanai bac- up Kenya?
 
Utendaji wa Serikali ya Rais SSH inaweza kusababisha kuvunjika kwa Muungano au kuwepo Muungano wenye Serikali 2 (Tanganyika na Zanzibar). Vitendo vya Serikali kukumbatia Waarabu ambako Rais SSH ana Wajomba ni hatari
Hili jambo ni hatari sana. Lazima uitishwe mjadala wa kitaifa watanganyika na wazanzibar tupige kura kama bado tunautaka muungano au la. Tusikubali kulazimishwa tu kama punda aliyekatwa kichwa.
 
Ameanza tena kuchonga ngenga?
 
......naogopa huu muungano unakaribia ukingoni..... Why !!?? Let the water flow !!!
 
Nadshani Akina Mbowe wanatumiwa kudumaza mpangomzima.
Hebu kuwa mzalendo na muungwana kidogo mkuu. Mbona uuzaji huu wa bandari unaofanywa na wazanzibar uko wazi? Sio mpaka umtaje Mbowe wakati hahusiki kwenye mgogoro huu.
 
Sasa wewe kwa akili yako unadhani Tanzania tunahitaji msaada wowote? Kwa taarifa yako, nchi yetu inaweza kujiendesha yenyewe vizuri sana bila msaada wala mkopo wa Mzungu. That's a fact!
Nchi itajiendeshaje huku inauzwa kwa waarabu? Tuungane kuikomboa kwanza. Huwezi kufikiria maendeleo huku nchi ikiuzwa kwa waarabu. Tuikomboe kwanza.
 
Kwangu sawa tu
 
Kiukweli Maili 10 za Ukanda wa Pwani ni Mali ya zanzibar ndio kusema bandari ya Tanga, Dar na Mtwara ni mali ya Zanzibar.
Lakini Tufunikeni kombe Mwanaharamu apite.
Time will tell
Acheni kujidanganya. Huyo mwarabu alipata wapi uhalali wa kumiliki fukwe zetu? Msitufanye mataahira.
 
Umeandika utumbo. Kama hayo mnayaajua kwa nini mlifanya mapinduzi ya kumuondoa sultan hapo zenj?

Kwa hiyo mmeshindwa kuendelea sababu ya muungano?

Kuhusu sijui eti kubinafsishwa bandari kutaleta Maendeleo Tanzania, huo ni uongo mkubwa. Makampuni ya nje yapo kwenye madini miaka mingi kwa sasa hakuna lolote la maana tulilopata. Ni Kama vile madini hayachimbwi Tanzania
 
Hapa ishu ni bandari kupewa kwa DP World milele. Bila umilele usingesikia hizi vuguvugu
 
Dp word walianza Kenya, Kenya wakakataa. Nakuweka sawa kama ulikuwa hujui
 
Mimi sina undugu na waarabu, ni nyie wajinga wachache ndio mnajiona waarabu kisa wote mnaswali ijumaa
 
Sasa wewe kwa akili yako unadhani Tanzania tunahitaji msaada wowote? Kwa taarifa yako, nchi yetu inaweza kujiendesha yenyewe vizuri sana bila msaada wala mkopo wa Mzungu. That's a fact!
Tuombe misaada kujenga uwezo wetu wenyewe na siyo misaada na watekelezaji wawe hao hao waliotusaidia. Kitendo hicho ni mithili ya kuhamisha fedha kutoka mfuko mmoja wa suruali uliyovaa na kuhamishia kwenye mfuko mwingine.
 
Porojo tupu !
 
Hii mijadala inanibariki sana!

Katika mambo ya ajabu kabisa niliyoyashuhudia maishani mwangu ni pamoja na huu muungano.

Wanaonufaika nao,hawautaki na walioung'ang'ania hawanufaiki chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…