Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Kumbe sababu sio mkataba!!!kuna jambo liko nyuma ya pazia,endelea kuomba ugaidi hipo siku maombi yako yatapokelewa endelea kuomba amani inamulevia
 
Mama ndo wakwanza kubinafsisha mali za ummah? Maraisi wote wamehusika katika ubinafsishaji.
Haupo serious eti eeh! Mwinyi aliuza mbuga ya loliondo huko Arusha Tanganyika. Niambie aliuza nini kule Zanzibar! Mkapa aliuza nyumba za serikali ya Tanganyika na viwanda vya Tanganyika, niambie aliuza nini kule Zanzibar! Huyu kauza bandari na loliondo Tena huku Tanganyika, niambie kauza nini huko Zanzibar!
Hakuna mjinga Tena wa kumezeshwa propaganda mkia wa mbuzi dogo kwani watu wa Tanganyika wako rada Sana kwa Sasa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kuwa waarabu wanahusishwa na suala la ugaidi, tutarajie nchi yetu kuingia kwenye mizozo ya kigaidi, hasa ukizangatia kwamba serikali ya Tanganyika haitakuwa na mamlaka ya kujua ni nini kinaingia wala kutoka bandarini.
Acha ujinga wako Kuna ndugu zako wapo uko arabuni wanafanya kazi na hawabaguliwi km unavyofanya wewe jinga moja, wengine wapo humu Jf wanaweza kutoa ushahidi, acha fikra potofu kwengine unaweza ukawa sahihi Ila unapoenda kuhusisha habari za ugaidi na uarabu ndio unakosea,
 
Hivi kakobe naye ni askofu. Alliwekwa wakfu na nani? Au alijipachika uaskofu yeye mwenyewe
 
Wewe una kichaa
 
Achana na hizi Siasa nyepesi nyepesi, Maneno ya CCM Siko zote ndio hayo hayo, yalianza kwenye madini, yakaja kwenye gesi na sasa yamehamia Bandarini, Hakuna kupaa wala kupaishwa, Nyerere alishasema hakuna mgeni atakayekuendeleza bali wewe mwenyewe utajiendeleza, Angalia nchi zote zilizoendelea duniani, hakuna hata moja iliyoendelezwa na wageni, labda USA ya watumwa weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…