Askofu Kassala atoa ‘Dikrii’ ya kufungwa kwa Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita

Makanisa haya ni matatizo.
Kumbe makanisa yakivamiwa na sakramenti kuharibiwa ibada zinakufa?

Mmmh huyu Mungu anatuonaje?
Si imeandikwa tutamwabudu Mungu rohoni?
Mimi nimejiuliza..hayo Maombi ya toba wanafanyia wapi na kanisa limefungwa? Sijaelewa kabisa.
Halafu wanashindwa nini kuweka kufanya marekebisho fasta ibada zikaendelea?
 
Mimi nimejiuliza..hayo Maombi ya toba wanafanyia wapi na kanisa limefungwa? Sijaelewa kabisa.
Halafu wanashindwa nini kuweka kufanya marekebisho fasta ibada zikaendelea?
Taratibu zao ngumu sana.
Ingekuwa makanisa mengine...wangefanya usafi na kufanya maombi ibada zinaendelea.

Pili aliyefanya hiyo mambo wanadai ni muumini wa pale lakini amelinajisi jengo lake la ibada??🤣🤣
 
Mimi nimejiuliza..hayo Maombi ya toba wanafanyia wapi na kanisa limefungwa? Sijaelewa kabisa.
Halafu wanashindwa nini kuweka kufanya marekebisho fasta ibada zikaendelea?

Ndio maana kuna jumuia mkuu,zinazoweza kufanya ibada kila jmosi.hakuna kinachoshindikana.
 
Taratibu zao ngumu sana.
Ingekuwa makanisa mengine...wangefanya usafi na kufanya maombi ibada zinaendelea.

Pili aliyefanya hiyo mambo wanadai ni muumini wa pale lakini amelinajisi jengo lake la ibada??[emoji1787][emoji1787]

Sasa alirukwa na akili ama shida nini???ukute hata alikunya huko ndani maana yanayoonekana ktk picha sio mambo ya wizi peke yake.

Huyu watamfungia novena kwarezma hii awe shoga kabisa,wengine tuanza kuwalaumu.
 
Taratibu zao ngumu sana.
Ingekuwa makanisa mengine...wangefanya usafi na kufanya maombi ibada zinaendelea.

Pili aliyefanya hiyo mambo wanadai ni muumini wa pale lakini amelinajisi jengo lake la ibada??🤣🤣
Sawa amenajisi...wangefanya marekebisho ibada ikaendelea, wangepiga maombi humo humo kanisani.
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza, Sakramenti ndiyo roho na mwili wa kanisa.ukinajisi umeharibu patakatifu kwa Bwana.
Makanisa haya ni matatizo.
Kumbe makanisa yakivamiwa na sakramenti kuharibiwa ibada zinakufa?

Mmmh huyu Mungu anatuonaje?
Si imeandikwa tutamwabudu Mungu rohoni?
 
Hivyo vyote ulivyosema vinahusiana nini na Sakramenti takatifu?
 
Kanisa ni watu, lililofungwa ni jengo.
 
Wakati waumini wakiingia katika toba ya kulirudisha kanisa katika uhai wake (maana sasa hivi halifanyi kazi) namshauri huyo kijana aliyefanya kufuru hiyo, naye atubu. Kama kanisa kubwa kama hili (kanisa ni waumini) limenajisiwa, na kushindwa kutenda shughuli zake za kiimani, ni vipi uzito wa kufuru kwa kijana huyu?! Nashauri pia, kama kuna watu wengine walihusika katika hujuma hizi kwa namna yoyote ile, na hivyo kumtumia kijana huyu kufanya uhalifu huu, nao watubu. Hakika ni kufuru kubwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…